Sam Mahela sasa ndani ya TBC1

Sam Mahela sasa ndani ya TBC1

Nasikitika tuu Sam na zile mbwembwe zake sitaziona maana huko sijui hata huwa ni chanel gani
 
Jf yamejaa machawi na haya ndiyo tunaishi nayo huku urainiani watu wamejaa roho za kwanini sasa nyie inawauma nini
 
Kombe la dunia nitajiunga na ninyi kuwasikiliza Mwalimu Kashasha na Dr Leakey Abdallah.

Ila wakimaliza tu uchambuzi narudi DSTV.
 
Hiyo idhaa kwa jinsi yeyote ile sitodhubutu kuiangalia hata kama atashuka malaika kuwa mtangazaji.
 
Mambo ya fweeeeeeza
Hata Jerry Muro Naskia kajiunga Kuwa Shabiki wa Simba kuunga Mkono juhudi za Mzee
 
Kwenye akaunti yake ya Facebook jina bado linasomeka Sam Mahela-Itv
 
Back
Top Bottom