shushushu VIP
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 4,800
- 4,319
Yupo anakula kodi yako
Yupo tbc kijana, unafanya mchezo Ana andaliwa kuwa diwani kama sio mkuu Wa mkoaKitambo sana sijamsikia Sam Mahela, mtangazaji mahiri sana IPP Media hasa ITV na Radio One. Napenda sana akiwa anareport ITV Habari saa 2 usiku. Ana kisauti fulani hivi kizuri sana ila siyo kama cha Kivuyo.
Sam Mahela popote ulipo kaka yangu… big up sana !
kwamba jamaa ni "chakla"Siku zote IQ's fupi lazima tu zitashindwa Kumuelewa kwa haraka sana GENTAMYCINE ila nina uhakika wa 100% kwamba wale Great Thinkers na Werevu wa Kutukuka wameshanielewa tena vizuri mno tu. Pole sana Mkuu na ukishaona nimeandika tu hilo neno la ' naomba niishie hapa tafadhali ' na nikaliwekea alama Nyekundu jua ya kwamba lina ' Unyeti ' wake na sitoweza tena kuendelea mbele zaidi ya hapo.
Huo mzigo wako wa kwenye avatar unanitoa mate shababi mimi,naipenda sana mizigo ya namna hiyoYupo anakula kodi yako
Utoke Itv Uende Tbc Hii Ikoje? Ameenda Na Kipindi Chake Cha Dakika 45 Au Ameanzisha Kipindi Kingine Huko Tbc ?tatizo uangalii TBC.
Sijui umeeleza nini Gentamycine!Ameungana na ' naniliu ' mwenzie TBC1. Nadhani wale ' Wana / Washkaji ' ambao huwa tunanyoa mara kwa mara katika ile Salon ya Kiume pale Mwenge ipo nyuma cha Kituo cha Mabasi iitwayo CHOGUM mtakuwa mmenielewa sana kama siyo mno tu kwani Kwetu Sisi huyu ' Mtangazaji ' siyo Mgeni Kimatendo. Naomba niishie hapa tafadhali.
DuAmeungana na ' naniliu ' mwenzie TBC1. Nadhani wale ' Wana / Washkaji ' ambao huwa tunanyoa mara kwa mara katika ile Salon ya Kiume pale Mwenge ipo nyuma cha Kituo cha Mabasi iitwayo CHOGUM mtakuwa mmenielewa sana kama siyo mno tu kwani Kwetu Sisi huyu ' Mtangazaji ' siyo Mgeni Kimatendo. Naomba niishie hapa tafadhali.
Ina maana jamaa ni naniiii??Ameungana na ' naniliu ' mwenzie TBC1. Nadhani wale ' Wana / Washkaji ' ambao huwa tunanyoa mara kwa mara katika ile Salon ya Kiume pale Mwenge ipo nyuma cha Kituo cha Mabasi iitwayo CHOGUM mtakuwa mmenielewa sana kama siyo mno tu kwani Kwetu Sisi huyu ' Mtangazaji ' siyo Mgeni Kimatendo. Naomba niishie hapa tafadhali.
Kama huwezi kuunganisha ....... huwezi elewaSijui umeeleza nini Gentamycine!
Ndo mambo ya mjini hapaIna maana jamaa ni naniiii??
Yani sitaki kuamini
.mjini kuna mambo
Sijui umeeleza nini Gentamycine!
Kwaiyo jamaa amekuwa kama mjumbe wa kamati ya utendaji pale msimbazi?Na Mimi nia yangu wachache na tena wenye akili kubwa za kuelewa Mafumbo yangu wanielewe halafu wale ' Wapuuzi ' wasijue kabisa nimemaanisha nini. Pole sana kwa kutonielewa na lengo langu Mama limetimia.
Kwaiyo jamaa amekuwa kama mjumbe wa kamati ya utendaji pale msimbazi?
Alipokuwa ITV /Radio One hatukisikia hizo pumba zako,kaenda TBC unaleta umbeya,kwani Mahela hana haki ya kuhama kazi kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine?au ITV/Radio One ni kituo cha baba yake,kila mtu ana mipango yake na maisha yake,mtu mzima unakuwa mbeya kama demu wa Uswazi,hata wewe unaweza kuhama kazi kutoka sehemu moja kwenda nyingine kwa kuangalia maslahi yako binafsi,maisha ni mapambano na kutafuta.Ameungana na ' naniliu ' mwenzie TBC1. Nadhani wale ' Wana / Washkaji ' ambao huwa tunanyoa mara kwa mara katika ile Salon ya Kiume pale Mwenge ipo nyuma cha Kituo cha Mabasi iitwayo CHOGUM mtakuwa mmenielewa sana kama siyo mno tu kwani Kwetu Sisi huyu ' Mtangazaji ' siyo Mgeni Kimatendo. Naomba niishie hapa tafadhali.
Hahahah uyo uyo mkuu.
Anatuaibisha pale msimbazi
Alipokuwa ITV /Radio One hatukisikia hizo pumba zako,kaenda TBC unaleta umbeya,kwani Mahela hana haki ya kuhama kazi kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine?au ITV/Radio One ni kituo cha baba yake,kila mtu ana mipango yake na maisha yake,mtu mzima unakuwa mbeya kama demu wa Uswazi,hata wewe unaweza kuhama kazi kutoka sehemu moja kwenda nyingine kwa kuangalia maslahi yako binafsi,maisha ni mapambano na kutafuta.
Duh!! Kuna kipindi alikuwa na leseni wa uwakala wa kuuza wachezaji au ilikuwa propaganda tu au kule akulipi zaidi kama ujumbe wa kamati ya utendaji?Namjua nje ndani tangia tukisoma wote Shighatini Upareni Mwanga Mkoani Kilimanjaro ( in early 90's ) japo nilisoma nae tu hapo miaka miwili ya Form One na Two nikahama. Pia nimecheza nae sana mpira katika Ngazi ya UMISSETA na Ligi zile za Vijana ( Yosso ) za Dar es Salaam Kipindi kile hasa nikiwa nakaa Ilala Shariff Shamba na Yeye akiwa anakaa katika zile ' Kota ' za NHC pale Fire huku akiwa jirani kabisa na Ghorofa alilokuwa akiishi Katibu Mkuu wa sasa wa Yanga SC, Mchezaji wa zamani wa Yanga SC na Mwalimu wa mpira Charles Boniface Mkwasa ' Master '. Jamaa ni Yanga SC lia lia kabisa nashangaa sana leo kumuona akiwa kama Mjumbe wa Kamati ya Simba SC halafu akiaminika vilivyo. Kuna Jamaa yetu mmoja yupo TBL pale Ilala jina lake nalihifadhi ila ' initials ' zake ni PM ( sasa hivi ni Bosi hapo nadhani upande wa Sales ) nadhani hata Yeye anavyomuona huyo Jamaa akijifanya ni mwana Simba Sports Club mwenzetu anashangaa na kushikwa sana na butwaa!
Duh!! Kuna kipindi alikuwa na leseni wa uwakala wa kuuza wachezaji au ilikuwa propaganda tu au kule akulipi zaidi kama ujumbe wa kamati ya utendaji?
unamaanisha bwana side????hivi ndo yeye alijifanya kapigwa ambush zikaibiwa milioni 12 za simba sinza au ni mwingine? mtu kajifanya eti kavamiwa na wazee wa hapa kazi tu 12 millions za team zikaondoka kijiinga halafu watu hadi leo kimyaNamjua nje ndani tangia tukisoma wote Shighatini Upareni Mwanga Mkoani Kilimanjaro ( in early 90's ) japo nilisoma nae tu hapo miaka miwili ya Form One na Two nikahama. Pia nimecheza nae sana mpira katika Ngazi ya UMISSETA na Ligi zile za Vijana ( Yosso ) za Dar es Salaam Kipindi kile hasa nikiwa nakaa Ilala Shariff Shamba na Yeye akiwa anakaa katika zile ' Kota ' za NHC pale Fire huku akiwa jirani kabisa na Ghorofa alilokuwa akiishi Katibu Mkuu wa sasa wa Yanga SC, Mchezaji wa zamani wa Yanga SC na Mwalimu wa mpira Charles Boniface Mkwasa ' Master '. Jamaa ni Yanga SC lia lia kabisa nashangaa sana leo kumuona akiwa kama Mjumbe wa Kamati ya Simba SC halafu akiaminika vilivyo. Kuna Jamaa yetu mmoja yupo TBL pale Ilala jina lake nalihifadhi ila ' initials ' zake ni PM ( sasa hivi ni Bosi hapo nadhani upande wa Sales ) nadhani hata Yeye anavyomuona huyo Jamaa akijifanya ni mwana Simba Sports Club mwenzetu anashangaa na kushikwa sana na butwaa!