Sam Mahela sasa ndani ya TBC1

Sam Mahela sasa ndani ya TBC1

yupo kwenye ile channel ya propaganda aka tbc ndio kahamia huko
 
Kimaslahi TBC ni bora kuliko ITV kiueledi ITV ni bora kuliko TBC. Hivyo, kwa kuangalia chakula cha watoto amefanya maamuzi sahihi kabisa.

Ndomana huwezi kuta mtangazaji katoka TBC akaenda katika local private media kimaslahi haijakaa sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtangazaji Sam Mahela aliyekuwa ITV sasa hivi yuko TBC. Akiwa itv alikuwa na staili yake ya kuhitimisha habari. Naona tbc kaja na staili nyingine.
20180828_201326.png

Mods kama haiko jukwaa sahihi iamishieni sehemu yake.
 

Attachments

Back
Top Bottom