Sam Mahela sasa ndani ya TBC1

Sam Mahela sasa ndani ya TBC1

mimi naipenda sana hiyo staili na ninakubali jinsi anavyoongea kwa vitendo.
ngojea nione watu ambao huwa wanadai hawaangalii tbc watakavyoponda
Sijawahi ona manguli wa kuripoti habari wakifa ya huu ujinga.
 
Mabavicha yataponda eti tu kwa sababu jamaa kaamua kujiunga na televisheni yetu pendwa ya taifa.


Television pendwa.................................. kwa kuwa mimi ni kichaa nikaamua kumtafuta kichaa mwenzangu................... haya enda na pendwa yako huko ITV alifukunzwa yeye na Ufoo Saro
 
Nina issue hapa police malindi ndio naenda kuonana na mkuu wa kituo
 
Kwa vile yuko tbc sitakaa nimuangalie hata siku moja.
 
Kwa niaba ya watoto hasa huyo wa miaka mitatu (3)

Hakikisha unao.

Ila tumia muda, mtangulize mungu akuongoze, akupatie mke sahihi.

Pole sana kwa kuondokewa na mke wako.
Fikiria pa kwenda kumwaga mkuu..au unasubiri kila kitu serikali ifikiri badala yako...hyo mitaro inachimbwa na malaika? Ndio maana makonda amewaletea mgambo, baada ya kuona hamtaki kufikiria..
Nb: hatuwezi kuishi na watu wanaoendekeza uchafu bora mpigwe tu na faini mtatoa tu.
Duh mnaambiwaga mtulizage mishono yenu hamsikii
Tatizo ana miwani za fundi welding
Kama taarifa, iliyotolewa ni sahihi na mashaka yako kama yapo upande Wa walinzi kutochukua hatua mapema mpaka mhalifu anashuka juu ya ukuta! Huku wanajeshi wetu wakiwa wamemuona lkn wamezembea mpaka kashuka chini!.

Uzembe huu, ungeweza kuwa na madhara makubwa saana. Kwa jamii kila MTU anajua mhalifu anayevamia maeneo ya ulinzi Wa umma lengo lake ni nini?

Kama, unafikiri hatua aliyochukuliwa mhalifu huyu hakustahili ,hatua IPI iliyomfaa?
[QUOTE="toxic9, post: 28348238, member: 109Shabaniiihi
 
Kumbe huyu mdau sahivi yuko kule taifani!

Sawa....Sikujua nini kinaendelea Duniani!
 
Unamaanisha nini mkuu..toa taarifa iliyokamilika kaka..
maxresdefault.jpg
 
Na mimi ndio nashangaa aiseee, ina wezekana kule taifani kunalipa zaidi ya kule kwingine jamaaa
 
Mpunga mrefu, job security. Unachefuka bure, ni maisha yake na chaguo ni lake. Hafanyi kazi kwa ajili ya wengine bali yeye na familia yake. Serikalini kaona kunalipa.
Lazima aende huko kila mwanahabar anatamani na nindoto zao kufanya kazi tv au chombo cha taifa sivi yao hupanda kwa kufanya Kazi chombo cha taifa.
 
Hakuna asiependa maisha mazuri jamani
 
Unampangia na career yake? Wewe nani alikupangia uwe hapo ulipo, na ulipohama nani alikupangia?

Acheni watu wafanye kazi, wao ndio wanajua ugumu/urahisi wa sehemu wanazifanyia kazi.
wapi nimesema nimempangia kiongozi?acha kuhemkwa basi
 
Back
Top Bottom