hhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhh sasa ww jishongondoe hapa ... siku ya get together usishangae nikawa partner wako!kiroho safi....mm ke bwana!byeWewe si umechefukwa alivyohamia TBC? Kwanza jinsia ya kiumeni haichefukwi kiongozi.
Hahaha, dah! Nikidhani kidume weye. Haya tujiandae basi uwe partner wangu manengelo [emoji16][emoji16]hhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhh sasa ww jishongondoe hapa ... siku ya get together usishangae nikawa partner wako!kiroho safi....mm ke bwana!bye
Muache ajitafutie ugali wake na watoto wake.Usiingilie maisha ya MTU kiasi hichoLeo katika taarifa ya habari ya saa mbili usiku nimemuona mshikaji aki report kutoka TBC1
Mshikaji sasa kapotea wazi wazi.
tusubirie ya wazee...hii waache wakina Saint Ivuga na espy waendeHahaha, dah! Nikidhani kidume weye. Haya tujiandae basi uwe partner wangu manengelo [emoji16][emoji16]
Haha, na wewe ni mhenga kama mimi? Basi tusubiri ya wazee manake nishapata partner tayari [emoji3]tusubirie ya wazee...hii waache wakina Saint Ivuga na espy waende
mzee aisee!hakuna raha km kuwa sehem tulivu na wahenga...yaan burdaniii sio mm nitoke nikae meza moja na@Da'Vinc inahuu?au ww ukae meza moja na Demiss !hapana tutawaboa! mayb nikae na demiss unakatuma tuma kwenye gari kakuletee flat shoes, hapo high heels zimekuchosha au unakatuma ka Davinc kakakubadilishie kinywaji au amwite mhudumu!@lolHaha, na wewe ni mhenga kama mimi? Basi tusubiri ya wazee manake nishapata partner tayari [emoji3]
Naunga mkono hojaamzee aisee!hakuna raha km kuwa sehem tulivu na wahenga...yaan burdaniii sio mm nitoke nikae meza moja na@Da'Vinc inahuu?au ww ukae meza moja na Demiss !hapana tutawaboa! mayb nikae na demiss unakatuma tuma kwenye gari kakuletee flat shoes, hapo high heels zimekuchosha au unakatuma ka Davinc kakakubadilishie kinywaji au amwite mhudumu!@lol
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23]Angekuwa hajielew Hata hapo Itv asingeajiriwa. Hivi watanzania mna nini ajira ya mwingine povu utokwe Wewe Pambaneni na hali zenu atii.
Yuko kweny kipindi gani taarifa ya habar auMfatilie TBC ONE
Nilimwona kabla hajaenda kwamba ndio aendakoLeo katika taarifa ya habari ya saa mbili usiku nimemuona mshikaji aki report kutoka TBC1
Mshikaji sasa kapotea wazi wazi.
kumbe jamaa kaishatoka itv, nimeshangaa kumuona anaongoza taarifa ya habari hapa tibisiii