Hiyo inapendeza lakini mzee Mwinyi alishasema pale kwenye sukari mwenyezi mungu kapatia chumvi tutafanyaje ?
Hahahahahaha nimecheka sana hadi swaumu imenikaza lol
Hiyo inapendeza lakini mzee Mwinyi alishasema pale kwenye sukari mwenyezi mungu kapatia chumvi tutafanyaje ?
i wish hii huduma ingepatikana kirahisi......watu hawasemi tu ila tunatembea na rasta barabarani..sangapi ujinyoe
Weweeeeee, we haya we . . .
Hebu njoo chemba kwanza maana hata husomeki. Nikikuta umefanyiwa waxing utanieleza . . .
waxing......
Weweeeeee, we haya we . . .
ndio maana sikuongeza neno zaidi....:tape2:
:juggle::juggle:Hebu njoo chemba kwanza maana hata husomeki. Nikikuta umefanyiwa waxing utanieleza . . .
:smash::tape2::tape2::tape2::tape2::juggle::juggle:
:juggle::juggle:
Do you need my assistance?:smash::tape2::tape2::tape2::tape2:
Stoo leo:smash::tape2::tape2::tape2::tape2:
Hahahahaha... KimeyDo you need my assistance?
Am here for you guys lol
Afro hujambo mama
Do you need my assistance?
Am here for you guys lol
Afro hujambo mama