Saluni za kunyoa nywele sehemu nyeti

Saluni za kunyoa nywele sehemu nyeti

Hiyo inapendeza lakini mzee Mwinyi alishasema pale kwenye sukari mwenyezi mungu kapatia chumvi tutafanyaje ?
 
  • Thanks
Reactions: lin
Sidhani kama tumeshafika huko..
Tunaiga mambo ya kipuuzi halaf ya maana tunayapotezea..
damn!!
 
dah papa ya mke wangu itanuliwe kisha inyolewe na mtu mwingine,si ndo mwanzo wa kufundishana usagaji wakishazoeana utasikia 'shosti unajua nikikugusa hapa utasisimkwa kinoma'mara ashiiii ammmmm eeeeeh hujapoteza mke bado hapo.
 
  • Thanks
Reactions: lin
Hii ni safi mkuu, ila kama wanaonyoana ni gender mbili tofauti, itapunguza makal ya uchumi kwani malipo yatakua yanafanyika papo kwa hapo. But iwe ni private rooms
 
  • Thanks
Reactions: lin
hahaha no super man siyo kama unamkaliza uchi mwananmke wmenzio huwa sehemu ile ya siri inazibwa.....hahahaha usihofu sana hakuna tatizo kabisa hapo.......alafu kuna style nyingi kama unataka zingolewe zote au unataaka kuweka punk it depends......

sehemu za siri pale unaziba wapi na uache wapi? mi naona bora ununue hizo brazilian uhudumiwe na mume wako au mpaka saloon? mmmmmhiyo kuziba naona ni changa la macho
 
  • Thanks
Reactions: lin
Superman,
watu wanaweza kushangaa kwamba umeleta mada kama hii humu ndani.Lakini tukifikiria kwa undani nadhani ni vizuri watu wakaelimika kujua ni nini kinaendelea nyuma ya pazia katika huduma nyingi ambazo kwa face value zinaonekana ni za kawaida.
Hizi huduma za usafi maeneo nyeti zimekuwepo kwa muda mrefu.Tena ziko hadi za kupaka relaxer kwenye nywele huko kwa bibi... na inabidi ulipie gharama zaidi.Wanaouziuza ni hao hao wahudumu wa salon.Tukiangalia ni kwanini kuna huduma kama hizo... majibu yako mengi na sihitaji kuyaweka hapa.Huduma kama ya massage pia, ni huduma nzuri lakini kuna mambo ya ajabu yanafanyika nyuma ya pazia.... ninajua massage palour kwenye hotel moja ya kitalii ufukweni mwa bahari DSM, kinachonishangza kupita vyote ni kuwa chumba cha massage ni kiimoja tu na unapata huduma kwa kupiga simu kuweka appointment.Mhudumu ni msichana tena mdogo tu na anapokuhudumia huwa anajifungia ndani na mteja.Wateja wake ni wanawake na wanaume.Pata picha anapojifungia humu ndani na mteja mwanaume kunakuwa na usalama? Jibu sina.Kuna wateja wengine hasa wanaume hupenda kuitisha huduma ya massage kwenye vyumba vya hotel.Nimewahi kuambiwa kuwa hiyo massage mara nyingi inaambatana na mambo mengine kwa gharama zaidi kama mhudumu anaridhia.
Jamani, dunia inaelekea wapi?Watanzania nasi kwa kuiga mambo upesiupesi hatujambo!
Tukija kwenye mada ya Superman,nadhani mwanamke anahitaji kujisetiri hata kama ni kujifanyia usafi.Kuna vifaa mbalimbali vinavyoweza kutumika na mhusika kujifanyia usafi huo bila hata ya kumtumia mtu mwingine.Kuna shaving kits nzuri specifically made for women na zina mpaka special gel ya kukufanya ujihudumie vizuri na kupata matokeo mazuri tu.Ila mwisho wa siku ni uchaguzi wa mtu binafsi.
Umesema vyema , kuongezea hata mabinti wanao fanya kazi kwenye saloon za kiume kwa kweli ni kazi nzuri lakini mmmmm, wanaume wengi wanapenda kwenda huko kwa sababu ya ile tekenyatekenya, na wanajualia sawasawa, tena wanafanya makusudi. ninacho jua huwezi kula kila kitu , kuchagua muhimu.
 
Superman my friend eeh...kwani hapo kuna shida gani?..mbona watu we have been doing that for years hakuna tatizo lolote lile.....yule anayekunyoa anafanya kazi yake pale ukimaliza unampa tip yake ...biashara imekwisha....lakini brazilian wax is safe that kutumia hizo razor.......
Binti maringo kama wewe sio expert basi ni mtumiaji wa hiyo huduma lakini jamani sawa ni sayansi na teknolojia sijakataa lakini kwani lazima yote yanayofanyika duniani tuyafanye ,mi i beg to differ tatizo wanawake siku hizi tumekuwa so artificial kuanzia ukucha hadi utosi,mapishi ni full instants mpaka nazi siku za boksi,na pia uvivu umekuwa too much sasa kwani zikiota kila baada ya siku mbili we shida yako nini?si unajinyoa tu kama tulivoelekezwa na shangazi zetu!lets go back kwenye vile vitu vilitulea jamani haya mambo ya kuiga kila kitu haya kuna siku mtakuta kweupe!
 
Binti maringo kama wewe sio expert basi ni mtumiaji wa hiyo huduma lakini jamani sawa ni sayansi na teknolojia sijakataa lakini kwani lazima yote yanayofanyika duniani tuyafanye ,mi i beg to differ tatizo wanawake siku hizi tumekuwa so artificial kuanzia ukucha hadi utosi,mapishi ni full instants mpaka nazi siku za boksi,na pia uvivu umekuwa too much sasa kwani zikiota kila baada ya siku mbili we shida yako nini?si unajinyoa tu kama tulivoelekezwa na shangazi zetu!lets go back kwenye vile vitu vilitulea jamani haya mambo ya kuiga kila kitu haya kuna siku mtakuta kweupe!


Snowhite--- Me personally i think wax is safer kwa kweli maana hizi nyembe mwenzangu unaweza kupatwa tetenasi ...ok i know i know utasema mbona zamani hizo before wax watu walikuwa wanatumia wembe au mkasi kunyolea huko nanihino...lakini tunakwenda na wakati vitu vipya mambo mapya...siyo kwa sababu ya uvivu ila mtu unakuwa busy na mambo mengi sana and besides wax is refreshing you know....Just saying boo boo!!...
 
hahahaha no super man siyo kama unamkaliza uchi mwananmke wmenzio huwa sehemu ile ya siri inazibwa.....hahahaha usihofu sana hakuna tatizo kabisa hapo.......alafu kuna style nyingi kama unataka zingolewe zote au unataaka kuweka punk it depends......

sas bint maringo wana ziba na nn au kuna vifaa special kutoka china wanatumia kuzibia
swali la nyongeza na kama wana ziba vizuri kabisa huko kwa bibi nyau vipi kuhusu ule uwoto wa kandokando ya kile kijiji
ni hayo tu naomba unijibu
 
BAK Hii post ya mwaka gani!.....??????????duh

...Ya mwaka 47 🙂🙂 Angalia hapo juu utaona imeandikwa mwaka 47 lol!...naona ulichoandika kimekustua 🙂🙂 napiga picha kama nakuona vile ukihangaika karibu ya kujikojolea baada ya kujisiliba nanihii nyetini hahahaha lol!...nadhani hutarudia tena 🙂🙂

 
Last edited by a moderator:
Mkuu WoS;

Kuna Mr. mpenda kwa bibi aliwahi kwenda kwenye hizo massage na anasema baada ya kupata huduma kuu akaambiwa huduma binfasi ya zaida ni TZS 20,000 zaidi. Jamaa akatoa na kuhudumiwa . . . . baada ya hapo ikawa kama kamchezo . . .

Bdao najiuliza kama kwa maadili yetu kunyolewa saluni ni sawa ama la . . . Ni bora kama spouse wako akikupa hiyo huduma. Ikishindikana basi hata ndugu yako au rafiki yako wa karibu.


hapo kwenye red mi ndo DAH!
 
kelly, siingilii uhuru wako wa kkuamua jinsi gani unataka kujisafisha na kwa kumtumia nani, lakini nadhani u hav gone a lit bit far kusema wanawake wasionda kwa gyno kila baada ya miezi sita ni wachafu, sijui uko nchi gani lakini sisi wanawake wa kibongo tulio bongo huo sio utamaduni wetu tunaenda kwa gyno pale tu mtu anapoona hayuko sawa kwa maana ya ugonjwa au tatizo.
Na huo uchafu unaohitaji gyno kuutoa ni wa wapi hasa yeye gyno atautoa kwa njia ipi ambayo wewe mwenye mwili wako usiweze? labda unangelea ashakum si matusi tundu la nyuma "ass" ambalo ndio tunasikia hao wanaotumia huko inabidi kila baada ya wakati fulani kwenda kupigwa bomba "kusafishwa" kwasababu zile shahawa zinakuwa hazina means ya kutokea kama ilivyo kwa tundu la mbele.
OR unaongelea wanawake walio na maumbile yasiyo ya kawaida kwa maana kwamba tundu zao za mbele ni ndefu kupitiliza kwahiyo hawezi kujisafisha mwenyewe mpaka akachokonelewe na gyno. sasa labda u should specify. lakini kama swala ni hayo m******i tu? shost kwenda salon kwangu mimi naita uvivu babu na mwanamke kuwa mvivu si asili yake kama kiwembe kinakutoa bumps tafuta mmbadala wake ambao naamini upo, hizo wax zipo aina nyingi zipo ambazo unaweza kujifanyia mwenyewe sio lazima brazilian wax. na napenda kukwambia WANAWAKE WA KITANZANIA TUPO SWAFIIII NA NDO MAANA HATWENDI KWA GYNO MARA KWA MARA KWASABABU TUNAJUA KUJISAFISHA WENYEWE NA HATUNA FUNGUS wala HUO UCHAFU WA KUTOLEWA NA GYNO.
by the way hivi Gyno kasoma chuo miaka zaidi ya mitano kwa ajili ya kusafisha K***a za watu tu kwa uvivu wao? mnalikubali hilo?

NIMEKUPENDAAAJE!watu tunajua kuziosha K zetu zinakuwa saaaf!kitu maji tu mtoto wa kike mpaka kidole kinagoma kupita.MTOTO WA KIKE ANAYEJITAMBUA HAOGI AKIWA WIMA JAMANI!SHURTI UCHUTAME !
 
Snowhite--- Me personally i think wax is safer kwa kweli maana hizi nyembe mwenzangu unaweza kupatwa tetenasi ...ok i know i know utasema mbona zamani hizo before wax watu walikuwa wanatumia wembe au mkasi kunyolea huko nanihino...lakini tunakwenda na wakati vitu vipya mambo mapya...siyo kwa sababu ya uvivu ila mtu unakuwa busy na mambo mengi sana and besides wax is refreshing you know....Just saying boo boo!!...

SEE NILISEMA MIMI!huu ubize watoto wa kike unazidi kutuponza jamani!sawa tunaitafuta pesa lakini sio kiasi hiki,sawa tunalipa ada za shule but not to this extent,sawa tunanunua magari wenyewe lakini sio kiasi cha kujisahahu hivi,sawa tunalipa kodi za nyumba lakini guys sio kiasi cha kushindwa kujihudumia mwenyewe mpka kwenye issue sensitive kiasi hicho.haijalishi tunazunguka duniani na kuona vitu vina fanyika lakini sio kiasi cha kujisahau sisi ni nani na tumelelewa vipi!mtanisamehe jamani me am too traditionalist wen it cumz to lifestyles,malezi,the way am handling my man na kuhudumia nyumba yangu!IT HELPS BELIEVE ME
 
Back
Top Bottom