Kero yangu kwa saluni za Dar. Janja janja nyingi. Mtu unaenda kwa huduma ya kunyoa Tu na pesa kamili. Ukifika Mda wa kuosha kichwa, wadada Wana tabia ya kulazimisha uweke dawa ya m'ba huku wakijua fika unatozwa dawa na massage ya kichwa bila ridhaa yako. Inabidi ulipe zaidi bila kutarajia na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.