Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,405
Hmm...hizo handbags ni authentic kweli au ndo zile za Kariakoo?
Manake mjini hapa nimeona hadi Buscemis zinauzwa Kariakoo....lakini ni feki feki feki.
Kuna wakati na mimi nilijitoa nikanunua Burberry hand bag e-bay. Niliikuta ile ile inauzwa Mwenge mtumbani😛😛