jose mjasiriamali
JF-Expert Member
- Sep 17, 2014
- 1,770
- 1,605
Mkuu wewe hujamuelewa huyo bar maid, huo ni mgawanyo wa majukumu, wewe saloon, mwingine kodi, unaweza kuta kwa mwezi ana serve zaidi ya hiyo 150k, ni watu wa mipango sana.Sina tatizo na huyo anayetumia laki saba kununua brazilian hair kama kipato chake au cha mume wake au familia yake kinafikia huko. Nina tatizo na huyu mwenye mshahara wa laki na nusu.