Nduka
JF-Expert Member
- Dec 3, 2008
- 8,552
- 2,387
- Thread starter
- #21
Mwanamke huwa haombi direct kuwa anataka pesa afanyie nini Ndio maana Hata mama zetu waliachiwa pesa ya mboga sisi tukavaa unadhani kina baba wote huwa wanatoa fungu Kwa ajili ya nguo? Labda za sikuu tu ila hizi Mara nguo za ndani haswa Kwa wale house wives huwa Ni mabaki ya chenji za sokoni
Taratibu jifunze kuwajua wanawake hapo nywele elfu 10 hardly , handbag 20 , voucher elf 5 , body spray 5 na 10 iliyobaki ni upkeep [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usikimbie mbio ndefu hivyo Kwa 50 elfu ya saloon. Mpe tu
Dada Farasi mweupe umejibu ki professional zaidi. Nitafikiria upya uamuzi wangu wa kukimbia mbio ndefu.