Saluni 50,000/- kanipoteza mazima

Saluni 50,000/- kanipoteza mazima

Inawezekana ana shida nyingine na si nywele kama alivyosema. Mana mwingine anadhani akisema shida halisi basi utaona kama upo pale kwa ajili ya kumtatulia shida zake . ndiyo maana katumia neno nywele kama urembo akijua atasuka ana kipendeza basi.
 
Wanaume (hasa wanaoishi Dar) wangesitisha huduma ya kuhonga na kununua K, zaidi ya asilimia 50 ya wanawake wa Dar wangerudi vijijini. Kwa sisi tinaoishi kwamnyamani tunayaona.
 
Wanaume (hasa wanaoishi Dar) wangesitisha huduma ya kuhonga na kununua K, zaidi ya asilimia 50 ya wanawake wa Dar wangerudi vijijini. Kwa sisi tinaoishi kwamnyamani tunayaona.
Unatafuta ugomvi wa ngumi na mawe
 
we naona haukuwa na shida ya kula mzigo,kama demu lipo vizuri unato tu iyo elf 50,, Siku nyingine dau linapungua unalipa tena elf 20 unakula mzigo,then awamu nyingine unalipa elfu kumi unakula mzigo kwa Mara ya mwisho na kukata mawasiliano.
usiweke mahusiano ya mda mrefu kwa barmaid,maximum unatakiwa kula mzigo isizidi Mara 3 kwa siku tofauti tofauti plus kondomu ,kwa kanuni hii hivyo virusi vitakusikia tu.
 
Mimi ninashindwa kuelewa hapa unamkuta mtu anafanya kazi mshahara Tsh. 350,000 kwa mwezi lakini ana usafiri Suzuki four wheel drive, handbag ya LV au Gucci ya 1.2 mil, amesuka lace wig 300,000 tena yuko single.

Chura ipo?
 
wapo wazuri rangi shape kali wadogo wachapa kazi yan wataftaji na wanajua ku budget au kuepuka matumizi mabovu...na wanapenda hadi wanakushauri vitu positive....na wnajali yani wanawake au wasichana wazuri na wanaojielewa wapoo sana tena wengi ila wanadondokea kwa watu waovyo wanaopenda kujitanu..so in the end wanawaacha hao wanaume....sasa hao wadad wengine sasa naonawana mentality y kuchuna zaidi badaa ya kujitambua.......kulpwa kidogo sio kigzo cha kuwa na akili ya maisha so huyo ju ani kimeo we sepa tu kama ulivomuacha
 
Back
Top Bottom