MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 29,097
- 35,478
Ingelikuwa ni Lissu msingesema mikoaniWalikuepo wa kumdhamini lakini jamaa wali complicate mambo wangefanyaje na unajuwa mikoani si sawa na Dar ?!
Ingelikuwa ni Lissu msingesema mikoaniWalikuepo wa kumdhamini lakini jamaa wali complicate mambo wangefanyaje na unajuwa mikoani si sawa na Dar ?!
yes mkuu na mafisadi wako humo humo,tena anawajua.amazing tiziiHii ni Serikali ya Magufuli na CCM mwenyekiti wake ni Magufuli
Ukiwa mtukutu, mkaidi na msemaji sana hata maneno yenye ukakasi, CHADEMA unapata cheo na kutukuzwa.sana tu, udini mbele kwa mbele.
Unamwambia ajitoe CDM wakati mtu kisha ongeza CV???? ungemshauri mapema mdogo wako.
Sijahamisha mada bali wewe unalazimisha majibu ya kukufurahishaHa! Unahamisha mada
Kwaheri
Sorry,fafanua kidogoManeno mengi tu, huyo ana kesi ya kisiasa na anahudumia mahabusu kama mwanasiasa ambaye wanajua siku yeyote anaweza kuwa kiongozi, askari magereza huwa wanawaheshimu sana wanasiasa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] uchocheji,umenkumbusha mbali sna mkuu,kpnd watoto wakianza kuota menoMwaimu kuhama CHADEMA lisikupe Shida,mbona tulishawajua zamani kuwa kumkamata Mwaimu na kumnyima dhamana kwa kosa la uchocheji siyo kwamba ana kosa nia yenu ni kutaka ahame CHADEMA.
Si kweliSijahamisha mada bali wewe unalazimisha majibu ya kukufurahisha
Mimi nakwenda kumuwekea hiyo dhamana lakini ujue wako wengi. Kumbuka mwingine jana mmemkamata anawatembelea wagonjwa Iringa.Si kweli
Nimekuambia mkamuwekee mdhamana
agome afe?Hajagoma kula?
Hapa hakuna uchonganishi. Ni uhalisia Mkuu. Hakuna aliyeshtuka ndani ya CHADEMA kukamatwa kwa Salum Mwalimu. Wote wanaendelea kula bata as if hakuna kilichotokeaWe we lengo lako kuchonganisha tu, kama ungetumia busara ungeanza kulaumu wanaomuweka MTU ndani Siku zote hizo bila kumpeleka mahakani kinyume na sheria
Wadau, amani iwe kwenu.
Ni zaidi ya Siku tano sasa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar, Salum Mwalimu anasota Mahabusu huko Geita. Kwa cheo alichonacho ndani ya CHADEMA sikutegemea kama angeweza kusota rumande muda wote huu.
Wanachofanya CHADEMA si fair kabisa. Wanabagua watu wengine na kuwapendelea wengine. Alipokamatwa Tundu Lissu, CHADEMA wote walishtuka na viongozi wakuu wote walihakikisha kuwa anatolewa mahabusu mapema iwezekanavyo. Hali hiyo ilisababisha utetezi wa Tundu Lissu kusomwa nyakati za Usiku na kesi ya kuomba dhamana imevunja rekodi kwa kusikilizwa muda mrefu zaidi ambapo ilichukua masaa 5. Hatimaye Tundu Lissu kaachiwa kwa dhamana.
Godbless Lema, naye amesota rumande kwa siku tatu tu. viongozi wote wa CHADEMA akiwemo Mbowe walishtuka kukamatwa kwa Lema na walifanya kila jitihada kuhakikisha anapata dhamana na kweli wakafanikiwa.
Leo Salum Mwalimu maskini anasota rumande kwa makosa ya Freeman Mbowe. Ni Mbowe ndiye aliyempa kazi Kanda ya Ziwa ya kunadi UKUTA.
Nafahamu kuwa kinachomuweka Salum Mwalimu CHADEMA ni uwezo wake wa kujielewa awapo jukwaani. Ila hatakiwi kwa vile si MWENZAO! Hafanani na wao na ndio maana akikamatwa wao wanaona sawa tu.
Nimshauri sana Mdogo wangu Salum Mwalimu. Ni Bora akarejea Channel Ten kuendelea na kazi yake ya habari kuliko kuhangaika na CHADEMA. Kama itabidi afanye siasa basi ni bora akajiunga na ama CUF au hata ADC. Kuendelea kuwa kiongozi wa CHADEMA ni kupoteza muda.