Salum Mwalimu ukitoka mahabusu achana na CHADEMA

Wadau, amani iwe kwenu.

Ni zaidi ya Siku tano sasa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar, Salum Mwalimu anasota Mahabusu huko Geita. Kwa cheo alichonacho ndani ya CHADEMA sikutegemea kama angeweza kusota rumande muda wote huu.

Wanachofanya CHADEMA si fair kabisa. Wanabagua watu wengine na kuwapendelea wengine. Alipokamatwa Tundu Lissu, CHADEMA wote walishtuka na viongozi wakuu wote walihakikisha kuwa anatolewa mahabusu mapema iwezekanavyo. Hali hiyo ilisababisha utetezi wa Tundu Lissu kusomwa nyakati za Usiku na kesi ya kuomba dhamana imevunja rekodi kwa kusikilizwa muda mrefu zaidi ambapo ilichukua masaa 5. Hatimaye Tundu Lissu kaachiwa kwa dhamana.

Godbless Lema, naye amesota rumande kwa siku tatu tu. viongozi wote wa CHADEMA akiwemo Mbowe walishtuka kukamatwa kwa Lema na walifanya kila jitihada kuhakikisha anapata dhamana na kweli wakafanikiwa.

Leo Salum Mwalimu maskini anasota rumande kwa makosa ya Freeman Mbowe. Ni Mbowe ndiye aliyempa kazi Kanda ya Ziwa ya kunadi UKUTA.

Nafahamu kuwa kinachomuweka Salum Mwalimu CHADEMA ni uwezo wake wa kujielewa awapo jukwaani. Ila hatakiwi kwa vile si MWENZAO! Hafanani na wao na ndio maana akikamatwa wao wanaona sawa tu.

Nimshauri sana Mdogo wangu Salum Mwalimu. Ni Bora akarejea Channel Ten kuendelea na kazi yake ya habari kuliko kuhangaika na CHADEMA. Kama itabidi afanye siasa basi ni bora akajiunga na ama CUF au hata ADC. Kuendelea kuwa kiongozi wa CHADEMA ni kupoteza muda.
HUYU SALIM TULISHAMSHAURI MUDA MREFU KWAMBA AMEINGIA CHAMA AMBACHO KINA ALLEGY NA ISLAMIA
 
Unadhani hatukuona vifaa vikishushwa kutoka kwenye meli vikitokea bara?

Kwa hiyo ukiona meli yoyote inashusha vifaa vya kivita bandari ya zanzibar unajua imetoka bara???.Haiwezi kutoka ulaya,oman,afrika ya kusini nk
 
Taarifa tulikuwa nazo za meli kutoka bara kupeleka vifaa vya kivita Zanzibar!Ngoja nikutafutie picha za masoldier wakiwasili na vifaa!
 
Hao watakuwa wanajeshi wa Zanzibar wa JWTZ waliokuwa mazoezini Tanzania bara wakati huo watakuwa walikuwa wakirudi kwenye nchi yao na vifaa vyao vya kivita walivyotumia kwenye mazoezi.Si unajua Askari wa Zanzibar huenda kufanya mazoezi tanzania bara hata kenya au rwanda kukiwa na mazoezi ya majeshi ya pamoja? Sasa kwa taarifa yako mazoezi yakiisha kila jeshi hurudi nchini kwao na vifaa vyao walivyoenda navyo kufanya mazoezi.
 
Hakujua kuwa CHADEMA ni chama cha wenyewe, tangu lini Salimu Mwalimu akawa mchaga. Alipaswa kujitambua kabla ya kujiunga na hicho chama. Matokeao yake ameyaona mwenyewe, atasota mpaka mwisho. Angekuwa anatoka kaskazini mara moja mambo yangekuwa sawa.
 
Ni ukweli mtupu Mkuu
Wadau, amani iwe kwenu.

Ni zaidi ya Siku tano sasa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar, Salum Mwalimu anasota Mahabusu huko Geita. Kwa cheo alichonacho ndani ya CHADEMA sikutegemea kama angeweza kusota rumande muda wote huu.

Wanachofanya CHADEMA si fair kabisa. Wanabagua watu wengine na kuwapendelea wengine. Alipokamatwa Tundu Lissu, CHADEMA wote walishtuka na viongozi wakuu wote walihakikisha kuwa anatolewa mahabusu mapema iwezekanavyo. Hali hiyo ilisababisha utetezi wa Tundu Lissu kusomwa nyakati za Usiku na kesi ya kuomba dhamana imevunja rekodi kwa kusikilizwa muda mrefu zaidi ambapo ilichukua masaa 5. Hatimaye Tundu Lissu kaachiwa kwa dhamana.

Godbless Lema, naye amesota rumande kwa siku tatu tu. viongozi wote wa CHADEMA akiwemo Mbowe walishtuka kukamatwa kwa Lema na walifanya kila jitihada kuhakikisha anapata dhamana na kweli wakafanikiwa.

Leo Salum Mwalimu maskini anasota rumande kwa makosa ya Freeman Mbowe. Ni Mbowe ndiye aliyempa kazi Kanda ya Ziwa ya kunadi UKUTA.

Nafahamu kuwa kinachomuweka Salum Mwalimu CHADEMA ni uwezo wake wa kujielewa awapo jukwaani. Ila hatakiwi kwa vile si MWENZAO! Hafanani na wao na ndio maana akikamatwa wao wanaona sawa tu.

Nimshauri sana Mdogo wangu Salum Mwalimu. Ni Bora akarejea Channel Ten kuendelea na kazi yake ya habari kuliko kuhangaika na CHADEMA. Kama itabidi afanye siasa basi ni bora akajiunga na ama CUF au hata ADC. Kuendelea kuwa kiongozi wa CHADEMA ni kupoteza muda.
hadi anatia huruma
 
kwa hiyo kama si,mwenzao ni mwenzako?
 
Kumekuwepo na upotoshwaji wa makusudi unaofannywa humu kuhusu Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Zanzibar Kamanda Salum Mwalimu, watu hawa kwa makusudi makubwa na unafki wanajifanya kumuonea huruma kamanda Mwalimu aliyewekwa ndani Kwa makosa ambayo hayaeleweki zaidi ya kuyaita kuwa ni uchochezi. Baadhi ya watu leo wanajifanya kumshauri Kamanda Mwalimu aachane na CHADEMA eti chama hakimjali. Tangu lini wapinzani wakubwa wa CHADEMA wakawatakia mema viongozi wao?

Kamanda Mwalimu ni miongoni mwa maofisa wa ngazi ya juu kabisa wa CHADEMA na ni moja ya vijana wasomi na makini wanaotegemewa na Chama pande zote mbili za bara na visiwani. Kwa msiokua na kumbumbu ni kwamba Kamanda mwalimu ndiye aliaminiwa na Chama sambamba na Makamanda wengine mpaka kufikia kukabidhiwa mikoba ya aliyekua katibu mkuu wa zamani wa CHADEMA Dr. Slaa kukaimu nafasi hiyo kwa muda mpaka kufikia kumpata Katibu Mkuu mpya wa Chama Dr. Mashinji. Chama kinafahamu na kinatambua umuhimu wa huyu mtu muda wote. Fisi wanaosubiria mkono wa binadamu uanguke waendelee kupiga kelele zao na kujipotezea muda.

Wanaofanya propaganda za kitoto na za kizamani humu watambue kwamba Wanasheria wa Chama, viongozi wa juu wa chama, viongozi wa kanda, mikoa wilaya na kata wanafanya jitihada za juu chini kushughulikia suala hilo kuhakikisha kamanda Mwalimu anatoka haraka ingawa kuna sababu za makusudi zisizolingana na kosa analodaiwa kufanya ili kuendelea kumrudisha rumande. Ni matumaini yetu kuwa haki inatendeka na ni muhimu kuziipuuza propaganda zinazofanywa na watu wachache mitandaoni wasiokua na kazi za kufanya.

Mwisho ni kuwaomba makamanda wetu wawe wavumilivu, wapuuze propaganda za wanafki wachache wanajifanya kuwaonea viongozi CHADEMA huku nyoyo zao zimejaa unafiki. Masuala ya wanachadema yanashughulikiwa na wana chadema wenyewe na sio kwa huruma za wanafki na wapinzani wa CHADEMA. Ifike mahali kila mtu atumie muda wake kulijenga taifa pamoja na Chama chake na sio kushindia kwenye pooltable na mitandaoni kuandika propaganda zisizokua na faida yeyote zaidi ya kuchochea chuki na ubaguzi.
 
Hao watakuwa wanajeshi wa Zanzibar wa JWTZ waliokuwa mazoezini Tanzania bara wakati huo watakuwa walikuwa wakirudi kwenye nchi yao na vifaa vyao vya kivita walivyotumia kwenye mazoezi.Si unajua Askari wa Zanzibar huenda kufanya mazoezi tanzania bara hata kenya au rwanda kukiwa na mazoezi ya majeshi ya pamoja? Sasa kwa taarifa yako mazoezi yakiisha kila jeshi hurudi nchini kwao na vifaa vyao walivyoenda navyo kufanya mazoezi.
Hongera kwa kuweka pamba masikioni na kujifanya huoni!Unachofanya ni kuhamisha magoli!Ila ukweli wazanzibar wote wanaujua!Nchi ile ndogo halafu wanatambuana,wale hawakuwa wanajeshi wa Zanzibar walioshuka na silaha za kivita!
 
Kumekuwepo na upotoshwaji wa makusudi unaofannywa na genge moja humu la vijana wacheza pooltable wa mtaani kuhusu Naibu Karibu mkuu Chadema Zanzibar Kamanda Salum Mwalimu, Genge hili kwa makusudi makubwa na unafki linajifanya kumuonea huruma kamanda Mwalimu aliyewekwa ndani Kwa makosa ambayo hayaeleweki zaidi ya kuyaita kua ni uchochezi.Genge hili leo linajifanya kumshauri Kamanda mwalimu aachane na CHADEMA eti chama hakimjali. Tangu lini wapinzani wakubwa wa CHADEMA wakawatakia mema viongozi wao?

Kamanda mwalimu ni miongoni mwa maofisa wa ngazi ya juu kabisa wa CHADEMA,na ni moja ya vijana wasomi na makini wanaotegemewa na Chama pande zote mbili za bara na visiwani. Kwa msiokua na kumbumbu ni kwamba Kamanda mwalimu ndiye aliaminiwa na Chama sambamba na Makamanda wengine mpaka kufikia kukabidhiwa mikoba ya aliyekua katibu mkuu wa zamani wa CHADEMA Dr Slaa kukaimu nafasi hiyo kwa muda mpaka kufikia kumpata katibu mkuu mpya wa Chama Dr Mashinji.Chama kinafahamu na kinatambua umuhimu wa huyu mtu muda wote.Fisi wanaosubiria mkono wa binadamu uanguke waendelee kupiga kelele zao na kujipotezea muda.

Wanaofanya propaganda za kitoto na za kizamani humu watambue kwamba Wanasheria wa Chama, Viongozi wa juu wa chama, Viongozi wa kanda,mikoa wilaya na kata wanafanya jitihada za juu chini kushughulikia suala hilo kuhakikisha kamanda Mwalimu anatoka haraka ingawa kuna sababu za makusudi zisizolingana na kosa analodaiwa kufanya ili kuendelea kumrudisha rumande. Ni matumaini yetu kua haki inatendeka na ni muhimu kuziipuuza propaganda zinazofanywa na genge la watu wachache mitandaoni wasiokua na kazi za kufanya.

Mwisho ni kuwaomba makamanda wetu wawe wavumilivu, wapuuze propaganda za wanafki wachache wanajifanya kuwaonea viongozi Chadema huku nyoyo zao zimejaa unafiki.Masuala ya wanachadema yanashughulikiwa na wana chadema wenyewe na sio kwa huruma za wanafki na wapinzani wa chadema. Ifike mahali kila mtu atumie muda wake kulijenga taifa pamoja na Chama chake na sio kushindia kwenye pooltable na mitandaoni kuandika propaganda zisizokua na faida yeyote zaidi ya kuchochea chuki na ubaguzi.
# Lizaboni
 
Dah... Hao wacheza pool table.. wanacheza mida ya kazi??[emoji4]
 
Wakati huo huo kamanda anasota rumande siku ya sita sasa!
Makamanda mnatisha!!!!
 
atatoka kwamujibu washeria.waliwahi kuiunganisha chadema nauuaji ugaid lakin walishindwa
 
Kwa hyo polisi huwa wanawasubiri vionvozi wa juu ili watoe dhamana? Nauliza tuu
 
MAHANJU
Hili ni Jamvi la 'WHO DARS TO SPEAK' wewe umekuwa ukiandika mengi na sisi tumekuwa tukiyaheshimu mawazo yako na ni hivyo sioni sawa kwa wewe kuanza kuwakwaza wanajamvi wenzako ambao wanamawazo tofauti kwa kuwaita kuwa ni 'Genge' Waache watiririke kama vile wewe unavyotiririka
Yanaheshimiwa mawazo yenye ukweli au yanayokaribiana na ukweli na sio upotoshwaji wa makusudi unaojenga chuki. Wanaopiga porojo humu wameenda Simiyu wakahakikisha kua CHADEMA hawamjali Mwalimu? Mbona tuliofika Simiyu tupo hapa tutavumilia vipi uongo wa mchana kweupe?
 
Back
Top Bottom