TL kabla ya hapo umaarufu na uchungu wake ulikuwa ukiishia hapa hapa lakini walivyomweka ndani kule Musoma mnaona sasa amekuwa wa kimataifa na akiongea kauli zake zinapewa uzito mara 100 zaidi ya awali!Unamwambia ajitoe CDM wakati mtu kisha ongeza CV???? ungemshauri mapema mdogo wako.
Katelekezwa ngomeni Simiyu. Anakula kwa foleni, anajisaidia kwa foleni, anaoga kwa foleni, anaingia vyumba vya jela kwa foleni, na anahesabiwa kila baada ya saa kwa foleni.Wadau, amani iwe kwenu.
Ni zaidi ya Siku tano sasa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar, Salum Mwalimu anasota Mahabusu huko Geita. Kwa cheo alichonacho ndani ya CHADEMA sikutegemea kama angeweza kusota rumande muda wote huu.
Wanachofanya CHADEMA si fair kabisa. Wanabagua watu wengine na kuwapendelea wengine. Alipokamatwa Tundu Lissu, CHADEMA wote walishtuka na viongozi wakuu wote walihakikisha kuwa anatolewa mahabusu mapema iwezekanavyo. Hali hiyo ilisababisha utetezi wa Tundu Lissu kusomwa nyakati za Usiku na kesi ya kuomba dhamana imevunja rekodi kwa kusikilizwa muda mrefu zaidi ambapo ilichukua masaa 5. Hatimaye Tundu Lissu kaachiwa kwa dhamana.
Godbless Lema, naye amesota rumande kwa siku tatu tu. viongozi wote wa CHADEMA akiwemo Mbowe walishtuka kukamatwa kwa Lema na walifanya kila jitihada kuhakikisha anapata dhamana na kweli wakafanikiwa.
Leo Salum Mwalimu maskini anasota rumande kwa makosa ya Freeman Mbowe. Ni Mbowe ndiye aliyempa kazi Kanda ya Ziwa ya kunadi UKUTA.
Nafahamu kuwa kinachomuweka Salum Mwalimu CHADEMA ni uwezo wake wa kujielewa awapo jukwaani. Ila hatakiwi kwa vile si MWENZAO! Hafanani na wao na ndio maana akikamatwa wao wanaona sawa tu.
Nimshauri sana Mdogo wangu Salum Mwalimu. Ni Bora akarejea Channel Ten kuendelea na kazi yake ya habari kuliko kuhangaika na CHADEMA. Kama itabidi afanye siasa basi ni bora akajiunga na ama CUF au hata ADC. Kuendelea kuwa kiongozi wa CHADEMA ni kupoteza muda.
kukicha ataamuka bado yupo usingizini,ndo maana viongozi wengine wa chama wanazidi kuachia ngazi hasa kanda ya ziwa,chama kiko centralised kama alichangiwa yule kijana aliyemtuka rais kisa anatokea kaskazini leo Salum kiongozi wa kitaifa anasota...? Upendeleo wa kiukanda,ya huyu dikteta uchwara kwenye chama chake cha upinzani uchwara na ukuta wake wa biskuti.Anaweza kurudi forodhani na kuanza kuuza urojo pia sio lazima kulazimisha siasa...(joke)
Huyu jamaa ameingia kichwa kichwa katika siasa za Mbowe!Wadau, amani iwe kwenu.
Ni zaidi ya Siku tano sasa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar, Salum Mwalimu anasota Mahabusu huko Geita. Kwa cheo alichonacho ndani ya CHADEMA sikutegemea kama angeweza kusota rumande muda wote huu.
Wanachofanya CHADEMA si fair kabisa. Wanabagua watu wengine na kuwapendelea wengine. Alipokamatwa Tundu Lissu, CHADEMA wote walishtuka na viongozi wakuu wote walihakikisha kuwa anatolewa mahabusu mapema iwezekanavyo. Hali hiyo ilisababisha utetezi wa Tundu Lissu kusomwa nyakati za Usiku na kesi ya kuomba dhamana imevunja rekodi kwa kusikilizwa muda mrefu zaidi ambapo ilichukua masaa 5. Hatimaye Tundu Lissu kaachiwa kwa dhamana.
Godbless Lema, naye amesota rumande kwa siku tatu tu. viongozi wote wa CHADEMA akiwemo Mbowe walishtuka kukamatwa kwa Lema na walifanya kila jitihada kuhakikisha anapata dhamana na kweli wakafanikiwa.
Leo Salum Mwalimu maskini anasota rumande kwa makosa ya Freeman Mbowe. Ni Mbowe ndiye aliyempa kazi Kanda ya Ziwa ya kunadi UKUTA.
Nafahamu kuwa kinachomuweka Salum Mwalimu CHADEMA ni uwezo wake wa kujielewa awapo jukwaani. Ila hatakiwi kwa vile si MWENZAO! Hafanani na wao na ndio maana akikamatwa wao wanaona sawa tu.
Nimshauri sana Mdogo wangu Salum Mwalimu. Ni Bora akarejea Channel Ten kuendelea na kazi yake ya habari kuliko kuhangaika na CHADEMA. Kama itabidi afanye siasa basi ni bora akajiunga na ama CUF au hata ADC. Kuendelea kuwa kiongozi wa CHADEMA ni kupoteza muda.
Huyu jamaa ni haki yake ahame chama, haiwezekani kabisa jinsi cdm wanavyo hangaika na kesi za lissu halafu huyu jamaa wanamuacha asote siku zote hizi. Hili ndio tatizo la matabaka ndani ya cdm. Bora augane na ndugu zake wa cuf
Mwaimu kuhama CHADEMA lisikupe Shida,mbona tulishawajua zamani kuwa kumkamata Mwaimu na kumnyima dhamana kwa kosa la uchocheji siyo kwamba ana kosa nia yenu ni kutaka ahame CHADEMA.Wadau, amani iwe kwenu.