Salum Mwalimu ukitoka mahabusu achana na CHADEMA

Wadau, amani iwe kwenu.

Ni zaidi ya Siku tano sasa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar, Salum Mwalimu anasota Mahabusu huko Geita. Kwa cheo alichonacho ndani ya CHADEMA sikutegemea kama angeweza kusota rumande muda wote huu.

Wanachofanya CHADEMA si fair kabisa. Wanabagua watu wengine na kuwapendelea wengine. Alipokamatwa Tundu Lissu, CHADEMA wote walishtuka na viongozi wakuu wote walihakikisha kuwa anatolewa mahabusu mapema iwezekanavyo. Hali hiyo ilisababisha utetezi wa Tundu Lissu kusomwa nyakati za Usiku na kesi ya kuomba dhamana imevunja rekodi kwa kusikilizwa muda mrefu zaidi ambapo ilichukua masaa 5. Hatimaye Tundu Lissu kaachiwa kwa dhamana.

Godbless Lema, naye amesota rumande kwa siku tatu tu. viongozi wote wa CHADEMA akiwemo Mbowe walishtuka kukamatwa kwa Lema na walifanya kila jitihada kuhakikisha anapata dhamana na kweli wakafanikiwa.

Leo Salum Mwalimu maskini anasota rumande kwa makosa ya Freeman Mbowe. Ni Mbowe ndiye aliyempa kazi Kanda ya Ziwa ya kunadi UKUTA.

Nafahamu kuwa kinachomuweka Salum Mwalimu CHADEMA ni uwezo wake wa kujielewa awapo jukwaani. Ila hatakiwi kwa vile si MWENZAO! Hafanani na wao na ndio maana akikamatwa wao wanaona sawa tu.

Nimshauri sana Mdogo wangu Salum Mwalimu. Ni Bora akarejea Channel Ten kuendelea na kazi yake ya habari kuliko kuhangaika na CHADEMA. Kama itabidi afanye siasa basi ni bora akajiunga na ama CUF au hata ADC. Kuendelea kuwa kiongozi wa CHADEMA ni kupoteza muda.
Hivi maandalizi ya kupambana na UKUTA yameisha, isije ikawa ni mbinu tu ya kusitisha wakaibuka. UKUTA preparation ulikuwa homa ya August, halafu inaisha kirahisi hivi. Nina imani gharama za UKUTA zimetikisa waandaji.
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Ni zaidi ya Siku tano sasa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar, Salum Mwalimu anasota Mahabusu huko Geita. Kwa cheo alichonacho ndani ya CHADEMA sikutegemea kama angeweza kusota rumande muda wote huu.

Wanachofanya CHADEMA si fair kabisa. Wanabagua watu wengine na kuwapendelea wengine. Alipokamatwa Tundu Lissu, CHADEMA wote walishtuka na viongozi wakuu wote walihakikisha kuwa anatolewa mahabusu mapema iwezekanavyo. Hali hiyo ilisababisha utetezi wa Tundu Lissu kusomwa nyakati za Usiku na kesi ya kuomba dhamana imevunja rekodi kwa kusikilizwa muda mrefu zaidi ambapo ilichukua masaa 5. Hatimaye Tundu Lissu kaachiwa kwa dhamana.

Godbless Lema, naye amesota rumande kwa siku tatu tu. viongozi wote wa CHADEMA akiwemo Mbowe walishtuka kukamatwa kwa Lema na walifanya kila jitihada kuhakikisha anapata dhamana na kweli wakafanikiwa.

Leo Salum Mwalimu maskini anasota rumande kwa makosa ya Freeman Mbowe. Ni Mbowe ndiye aliyempa kazi Kanda ya Ziwa ya kunadi UKUTA.

Nafahamu kuwa kinachomuweka Salum Mwalimu CHADEMA ni uwezo wake wa kujielewa awapo jukwaani. Ila hatakiwi kwa vile si MWENZAO! Hafanani na wao na ndio maana akikamatwa wao wanaona sawa tu.

Nimshauri sana Mdogo wangu Salum Mwalimu. Ni Bora akarejea Channel Ten kuendelea na kazi yake ya habari kuliko kuhangaika na CHADEMA. Kama itabidi afanye siasa basi ni bora akajiunga na ama CUF au hata ADC. Kuendelea kuwa kiongozi wa CHADEMA ni kupoteza muda.

Atahamia CUF
 
Basi aende ccm kwa waliomweka ndani!Kuna zaidi ya viongozi 38 wa CDM wako ndani mpaka sasa!Hii yote ni kutokana na ujinga na ulimbukeni wa wenye dola!Unamuwekaje mtu rumande muda wote huo bila kumfikisha mahakamani?Hii ni aibu kwa jeshi la mwendokasi!
Kwa hadhi ya Salum mwalimu wala asingekuwa ndani kabisa.. Chadema mna upendeleo Lema mlishughulia kwa mbwembwe zote... LISSU mlishughulikia kwa mbwembwe zote ... Ubaguzi utawamaliza.
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Ni zaidi ya Siku tano sasa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar, Salum Mwalimu anasota Mahabusu huko Geita. Kwa cheo alichonacho ndani ya CHADEMA sikutegemea kama angeweza kusota rumande muda wote huu.

Wanachofanya CHADEMA si fair kabisa. Wanabagua watu wengine na kuwapendelea wengine. Alipokamatwa Tundu Lissu, CHADEMA wote walishtuka na viongozi wakuu wote walihakikisha kuwa anatolewa mahabusu mapema iwezekanavyo. Hali hiyo ilisababisha utetezi wa Tundu Lissu kusomwa nyakati za Usiku na kesi ya kuomba dhamana imevunja rekodi kwa kusikilizwa muda mrefu zaidi ambapo ilichukua masaa 5. Hatimaye Tundu Lissu kaachiwa kwa dhamana.

Godbless Lema, naye amesota rumande kwa siku tatu tu. viongozi wote wa CHADEMA akiwemo Mbowe walishtuka kukamatwa kwa Lema na walifanya kila jitihada kuhakikisha anapata dhamana na kweli wakafanikiwa.

Leo Salum Mwalimu maskini anasota rumande kwa makosa ya Freeman Mbowe. Ni Mbowe ndiye aliyempa kazi Kanda ya Ziwa ya kunadi UKUTA.

Nafahamu kuwa kinachomuweka Salum Mwalimu CHADEMA ni uwezo wake wa kujielewa awapo jukwaani. Ila hatakiwi kwa vile si MWENZAO! Hafanani na wao na ndio maana akikamatwa wao wanaona sawa tu.

Nimshauri sana Mdogo wangu Salum Mwalimu. Ni Bora akarejea Channel Ten kuendelea na kazi yake ya habari kuliko kuhangaika na CHADEMA. Kama itabidi afanye siasa basi ni bora akajiunga na ama CUF au hata ADC. Kuendelea kuwa kiongozi wa CHADEMA ni kupoteza muda.

Hivi Lizaboni, huu unafiki mnasomea au ni kipaji chenu tu cha kuzaliwa?
 
Kwa hadhi ya Salum mwalimu wala asingekuwa ndani kabisa.. Chadema mna upendeleo Lema mlishughulia kwa mbwembwe zote... LISSU mlishughulikia kwa mbwembwe zote ... Ubaguzi utawamaliza.
Endelea kufanya propaganda,ndicho mnachojua kupandikiza chuki miongoni mwa watu!
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Ni zaidi ya Siku tano sasa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar, Salum Mwalimu anasota Mahabusu huko Geita. Kwa cheo alichonacho ndani ya CHADEMA sikutegemea kama angeweza kusota rumande muda wote huu.

Wanachofanya CHADEMA si fair kabisa. Wanabagua watu wengine na kuwapendelea wengine. Alipokamatwa Tundu Lissu, CHADEMA wote walishtuka na viongozi wakuu wote walihakikisha kuwa anatolewa mahabusu mapema iwezekanavyo. Hali hiyo ilisababisha utetezi wa Tundu Lissu kusomwa nyakati za Usiku na kesi ya kuomba dhamana imevunja rekodi kwa kusikilizwa muda mrefu zaidi ambapo ilichukua masaa 5. Hatimaye Tundu Lissu kaachiwa kwa dhamana.

Godbless Lema, naye amesota rumande kwa siku tatu tu. viongozi wote wa CHADEMA akiwemo Mbowe walishtuka kukamatwa kwa Lema na walifanya kila jitihada kuhakikisha anapata dhamana na kweli wakafanikiwa.

Leo Salum Mwalimu maskini anasota rumande kwa makosa ya Freeman Mbowe. Ni Mbowe ndiye aliyempa kazi Kanda ya Ziwa ya kunadi UKUTA.

Nafahamu kuwa kinachomuweka Salum Mwalimu CHADEMA ni uwezo wake wa kujielewa awapo jukwaani. Ila hatakiwi kwa vile si MWENZAO! Hafanani na wao na ndio maana akikamatwa wao wanaona sawa tu.

Nimshauri sana Mdogo wangu Salum Mwalimu. Ni Bora akarejea Channel Ten kuendelea na kazi yake ya habari kuliko kuhangaika na CHADEMA. Kama itabidi afanye siasa basi ni bora akajiunga na ama CUF au hata ADC. Kuendelea kuwa kiongozi wa CHADEMA ni kupoteza muda.

Kabisa kabisa Lizaboni, ushauri wako mzuri. Ila huyu nae kishatekwa akili wala hajielewi maskini. Hiyo sentence nilotia rangi ndo hasa point napoiona. lakini wapi maskini kama karogwa vile wala hata hana habari kuwa anatumika tu.
Duuh huruma!
 
Unatabia mbaya sana, kidogo ulitaka kuweka ukanda lakini machale yakakucheza ukabadilishia gia angani. Huo nao ni uchonganishi. Ukitaka kuandika historia ya Salum Mwalimu hakutakuwepo jina Mbowe. Salum anajua anchokifanya, hakurupuki. Na wala hatajuta kuwekwa ndani na badala yake ataimarika.
 
Kabisa kabisa Lizaboni, ushauri wako mzuri. Ila huyu nae kishatekwa akili wala hajielewi maskini. Hiyo sentence nilotia rangi ndo hasa point napoiona. lakini wapi maskini kama karogwa vile wala hata hana habari kuwa anatumika tu.
Duuh huruma!
naibu katibu mkuu wa zanzibar sijui kakimbia nini mpaka aje huku,au kwenye siasa kuna limbwata pia!!
 
Hahaha mwenyewe najua akitoka hatatumika hovyo tena.
Kuna mmoja aligoma kula anajiita kamanda jana ananyweshwa uji kama mtoto
Kweli huyo kamanda!!?
Ndio maana siku ile alihaha asirudi rumande hahaha
MOTOCHINI badala ya kuwazodoa CDM ambao mamlaka yao si ya kimaamuzi kwanini ustumie ushauri kwa serikali hii ya Maguful kuwa fair kwa watu wote bila kujali itikadi zao ?!
Ukizingatia Salum Mwalimu hakuwa na kikao chochote zaidi ya kutaka kujua (kuhoji) ni kwanini wanachama wake walikuwa ndani
 
Kila kitu kabla ya kutenda ni vyema ukajiuliza maswali mengi ya kwann nitende, sio kutenda kwa kuwa wengine wanatenda au hamasa, watu wengi huingia majutoni baada
 
Kwanza mkamuwekee dhamana
Kisha tuongelee mengine mkuu
 
Kila kitu kabla ya kutenda ni vyema ukajiuliza maswali mengi ya kwann nitende, sio kutenda kwa kuwa wengine wanatenda au hamasa, watu wengi huingia majutoni baada
Ndio maana tunasema watu wengine ni Vibendera kufuata mkumbo
 
CHADEMA wanejijengea UKUTA wa sementi chapa Kifaru. Kabisa hawatotoka, kikichobaki ni kuwawekea geti la chuma na makufuri kabakaba. Huko ndani watajua demokrasia maana yake halisi. Udikteta wakajifunze kwa CUF ilivyomdiktetatia Prof.
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Ni zaidi ya Siku tano sasa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar, Salum Mwalimu anasota Mahabusu huko Geita. Kwa cheo alichonacho ndani ya CHADEMA sikutegemea kama angeweza kusota rumande muda wote huu.

Wanachofanya CHADEMA si fair kabisa. Wanabagua watu wengine na kuwapendelea wengine. Alipokamatwa Tundu Lissu, CHADEMA wote walishtuka na viongozi wakuu wote walihakikisha kuwa anatolewa mahabusu mapema iwezekanavyo. Hali hiyo ilisababisha utetezi wa Tundu Lissu kusomwa nyakati za Usiku na kesi ya kuomba dhamana imevunja rekodi kwa kusikilizwa muda mrefu zaidi ambapo ilichukua masaa 5. Hatimaye Tundu Lissu kaachiwa kwa dhamana.

Godbless Lema, naye amesota rumande kwa siku tatu tu. viongozi wote wa CHADEMA akiwemo Mbowe walishtuka kukamatwa kwa Lema na walifanya kila jitihada kuhakikisha anapata dhamana na kweli wakafanikiwa.

Leo Salum Mwalimu maskini anasota rumande kwa makosa ya Freeman Mbowe. Ni Mbowe ndiye aliyempa kazi Kanda ya Ziwa ya kunadi UKUTA.

Nafahamu kuwa kinachomuweka Salum Mwalimu CHADEMA ni uwezo wake wa kujielewa awapo jukwaani. Ila hatakiwi kwa vile si MWENZAO! Hafanani na wao na ndio maana akikamatwa wao wanaona sawa tu.

Nimshauri sana Mdogo wangu Salum Mwalimu. Ni Bora akarejea Channel Ten kuendelea na kazi yake ya habari kuliko kuhangaika na CHADEMA. Kama itabidi afanye siasa basi ni bora akajiunga na ama CUF au hata ADC. Kuendelea kuwa kiongozi wa CHADEMA ni kupoteza muda.
Inachomaaa
 
Acha kutumika vibaya ni dhambi tena mbaya sana,utakuja kutoa hesabu yake.
Mind you everything happen to CHADEMA is happen for REASON and PLAN siyo huko mwendo kasi.
Kwa niniyi mnao dhani mnamkomoa Salim SIYO rahisi kuelewa kwa kutumia fikra na mawazo ya mwendo kasi.
 
Ha ha haa CCM kwa kujifanya Sungura aliyesema sizitaki hizi ni mbichi wakati zimemshinda hamjambo,eti CHADEMA wote walishituka na viongozi wakuu wote walihakikisha Lissu anatolewa mahabusu,wakati Ofisi yote ya Lumumba Ili hamishia virago Mahakamani kwenda kupambana na kichwa kimoja cha Lissu zaidi ya masaa 5 magamba wakaondoka na virago vyao kurudi Lumumba kwa aibu baada ya kubwagwa na Lissu.
 
Back
Top Bottom