GE2025 Salum Mwalimu ajibu kuhusu Polepole Kumbeza

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,490
Reaction score
2,175
Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) na Katibu Mkuu wa chama hicho, Salum Mwalimu, amesema hatashiriki katika malumbano na watu wanaomkosoa au kumbeza kuhusu uamuzi wake wa kugombea Urais na kushindana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Akizungumza baada ya kuchukua fomu ya kuwania Urais katika Ofisi za Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Jijini Dodoma alipoulizwa na wanahabari kuhusu kauli za kumbeza zilizotolewa na Kada wa CCM na aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, Mwalimu amesema haijawahi kuwa tabia yake kujibizana na mtu yeyote.

“Ameyasema ayaseme tu, mimi siko hapa kujibishana na mtu yeyote, haijawahi kuwa hulka yangu, sijawahi kujibishana na mtu wala kumbeza mtu. Acha waseme, ninaamini katika uhuru wa maoni. Sio leo tu, hata nitakapoingia madarakani watu watasema na kusema, lakini mimi nimejikita kwenye nini Watanzania wanataka,” amesema

Chanzo: Jambo TV
 
Hahaha, hii nchi kuna uwezekano mkubwa watu waadilifu hawazidi kumi.

Tena wa kuogopwa zaidi ni hawa wanaopiga kelele kuhusu uadilifu.
 
Screenshot_20250703-140259~2.png
 
Salumu mwenyewe hata simuelewagi hajawai Fanya chochote kile kwenye viunga vya siasa za TANZANIA

Hata zungumza yake ni ya mtu asiyekua charismatic leader.
 
Salum Mwalimu, unaumwa nyakanywa au ugonjwa wa makabtula. Yaani wewe unawaza kuingia madarakani? Madaraka gani hayo?
 
Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) na Katibu Mkuu wa chama hicho, Salum Mwalimu, amesema hatashiriki katika malumbano na watu wanaomkosoa au kumbeza kuhusu uamuzi wake wa kugombea Urais na kushindana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Akizungumza baada ya kuchukua fomu ya kuwania Urais katika Ofisi za Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Jijini Dodoma alipoulizwa na wanahabari kuhusu kauli za kumbeza zilizotolewa na Kada wa CCM na aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, Mwalimu amesema haijawahi kuwa tabia yake kujibizana na mtu yeyote.

“Ameyasema ayaseme tu, mimi siko hapa kujibishana na mtu yeyote, haijawahi kuwa hulka yangu, sijawahi kujibishana na mtu wala kumbeza mtu. Acha waseme, ninaamini katika uhuru wa maoni. Sio leo tu, hata nitakapoingia madarakani watu watasema na kusema, lakini mimi nimejikita kwenye nini Watanzania wanataka,” amesema

Chanzo: Jambo TV
Safi kabisa, hii ndo maana ya mtu aliyeenda shule kuelimika. Kuna mijitu kutwa kucha yenyewe ni kutafuta Shari tu na wenzao......mara izushe hili mara lile; mara iongee vile mara hivi.
 
Hahaha, hii nchi kuna uwezekano mkubwa watu waadilifu hawazidi kumi.

Tena wa kuogopwa zaidi ni hawa wanaopiga kelele kuhusu uadilifu.
Waadilifu bado wapo wengi sana, hilo nina uhakika nalo kwa 100%
 
Back
Top Bottom