Mwana kondoo 2025
JF-Expert Member
- Apr 6, 2025
- 495
- 580
Samia anaingia ikulu mapema kwa kusindikizwa na Salim Mwalimu alishindwa Kinondoni. sembuseEti hata atakopoingia madarakani 😂😂
Mambo haya yanatka usiwe na aibu kweli kweli
Samia anaingia ikulu mapema kwa kusindikizwa na Salim Mwalimu alishindwa Kinondoni. sembuseEti hata atakopoingia madarakani 😂😂
Mambo haya yanatka usiwe na aibu kweli kweli
Alishindwa Ubunge kwa akina P Kinondoni 😂
Ni muda wa upinzani kupasuanaNimeona Umati wa watu wakimsindikiza kuchukua fomu ya Urais, Wakiongozwa na Yerricko Nyerere
Salumu mwenyewe hata simuelewagi hajawai Fanya chochote kile kwenye viunga vya siasa za TANZANIA
Hata zungumza yake ni ya mtu asiyekua charismatic leader.
Mpinzani ni Chadema PekeeNi muda wa upinzani kupasuana
USSR
Kamanda Yericko ametukimbia eti tabia za kuzilazila sio hulka yake aiseeNimeona Umati wa watu wakimsindikiza kuchukua fomu ya Urais, Wakiongozwa na Yerricko Nyerere
Yerricko aliondoka Chadema baada ya Uchaguzi January 21Kamanda Yericko ametukimbia eti tabia za kuzilazila sio hulka yake aisee
Lakini alikua bado ajatangaza chama anachokwenda kamanda. Hivi unaona ni sahihi Katibu wetu kuvibagaza na kuvikejeri vyama vingine vinavyoshiriki uchaguzi kua vikaragosi nk? Kwangu nadhani kamanda Heche inabidi ifike sehemu sasa atulie kabisa aache siasa zenye jazba na arrogance ili wananchi watuelewe vizuri.Yerricko aliondoka Chadema baada ya Uchaguzi January 21
Njaa Haina baunsa tuishii humooYupo smart Ila njaa haina baunsa
Kwenye ulaji watu huvua kabisa akiliEti hata atakopoingia madarakani 😂😂
Mambo haya yanatka usiwe na aibu kweli kweli
Kuna watu wana masihara sana. Labda anazungumzia madaraka ya mwalimu wa madrasaSalum Mwalimu, unaumwa nyakanywa au ugonjwa wa makabtula. Yaani wewe unawaza kuingia madarakani? Madaraka gani hayo?
Pipa na mfuniko, japo sijui nani pipa na nani mfuniko. Lakini ninachujua itakuwa ni pipa na mfuniko wake..ukiitishwa mdahalo kati ya Samia na Salumu unadhani nani atashinda?
Salum Mwalimu yupo payroll ya CCM, kimsingi yupo pale strategically. Huyo ni pure CCM.....Ulishasikia alishasema kitu kuhusu Samia?Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) na Katibu Mkuu wa chama hicho, Salum Mwalimu, amesema hatashiriki katika malumbano na watu wanaomkosoa au kumbeza kuhusu uamuzi wake wa kugombea Urais na kushindana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Akizungumza baada ya kuchukua fomu ya kuwania Urais katika Ofisi za Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Jijini Dodoma alipoulizwa na wanahabari kuhusu kauli za kumbeza zilizotolewa na Kada wa CCM na aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, Mwalimu amesema haijawahi kuwa tabia yake kujibizana na mtu yeyote.
“Ameyasema ayaseme tu, mimi siko hapa kujibishana na mtu yeyote, haijawahi kuwa hulka yangu, sijawahi kujibishana na mtu wala kumbeza mtu. Acha waseme, ninaamini katika uhuru wa maoni. Sio leo tu, hata nitakapoingia madarakani watu watasema na kusema, lakini mimi nimejikita kwenye nini Watanzania wanataka,” amesema
Chanzo: Jambo TV