Salt n pepa! Enzi ya enzi

Mnapoanza kutukumbusha zama hizo za kina chumvi na pilipili huku kina Lisa (jicho la kushoto )pale SWV (sisters with sauti )jamani miaka hiyo ilikuwa na ladha yake tofauti sana queen latifah na dabrat wacha wakati uitwe wakati!
Kulikua na Imature,JoDeCi,Monica Anold,Tatiana Ally,Marry J Blidge,Mc Lite jamani ujio wa umri sio mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…