Mkuu Da Brat/missy eliott nao walikuwa wanajitahidi...Hao ni kiboko kwa kufoka fuko...aisee hatari sana hao....hawajatokea raper wa kike kama hao...bado sijaona...aisee
[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji781] [emoji781] [emoji781] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15]Dah!!!enzi hizo dunia yangu ya ujana kwa kweli ilikuwa taaaam sana.,maisha yalikuwa matam sikutegemeaga kama hawa ma~thithiem yataharibu "TAIFA MAMA" namna hii.