RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,867
- 129,847
Baadae walitoa WIFEY....playlist yangu zipo hiziKuna single moja hivi walitoa jamaa flani hivi wakijiita "Next" ngoma ikiitwa too close dah ilinishika ile mbaya.
Baadae walitoa WIFEY....playlist yangu zipo hiziKuna single moja hivi walitoa jamaa flani hivi wakijiita "Next" ngoma ikiitwa too close dah ilinishika ile mbaya.
Who's that gal na na na na na......Yule Eve wa rough raider first lady na kibao chake I got a men ilikuwa khatari sana kuanzia mdundo mpaka ujumbe.
1994Ha ha ha ha early 90s ulikuwa huko tayari?
Vp kile kibao cha intenal i wanna be only one? Nacho kilishika mbaya.Baadae walitoa WIFEY....playlist yangu zipo hizi
Hahahahahaa dad mack na mack dad noma sana mkuu Ngoma zile balaaaCriss cross make u.....jump jump.....
...Five o'clock in the morning what's gonna be...Huyo Dada wa Non chalant kakichafua sana kwenye "5 o'clock in the morning"
Kulikua na Imature,JoDeCi,Monica Anold,Tatiana Ally,Marry J Blidge,Mc Lite jamani ujio wa umri sio mchezoMnapoanza kutukumbusha zama hizo za kina chumvi na pilipili huku kina Lisa (jicho la kushoto )pale SWV (sisters with sauti )jamani miaka hiyo ilikuwa na ladha yake tofauti sana queen latifah na dabrat wacha wakati uitwe wakati!