barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,804
Dah! Umenikumbusha hicho kitu;What a man....
Let's have sex...
Shoop (not so sure)
...what a man what a man what a man whata man .......!!
Aiseeee!
Dah! Umenikumbusha hicho kitu;What a man....
Let's have sex...
Shoop (not so sure)
Hao ni Color Me Bad...I wanna sex u up
Siwezi kuisahau Lets talk about sex.....enzi hizo birthday parties ni tukio kweli kweli! Ndio muda pekee unaweza kukaa ni mchuchu mpaka usiku!Dah! Umenikumbusha hicho kitu;
...what a man what a man what a man whata man .......!!
Aiseeee!
Huyo Dada wa Non chalant kakichafua sana kwenye "5 o'clock in the morning"Kwangu mm hawa ndio the best female rappers to ever walk on earth.
Ukiacha hawa kuna Queen Latifa, Yule Dem wa Non Chalant,Eve, Miss Eliot na wengine ktk Old School.
Hakuna cha Mainstream rappers kama akina Nick Manaj, nk.
Hapo Treach wa Naughty By Nature anashikwashikwa....Ngoma yao ya Whatta Man ilinibamba sanaaaa...Verse ya kwanza hiyo tujikumbushe.
I wanna take a minute or two, and give much respect due
To the man that's made a difference in my world
And although most men are ho's he flows on the down low
Cuz I never heard about him with another girl
But I don't sweat it because it's just pathetic
To let it get me involved in that he said/she said crowd
I know that ain't nobody perfect, I give props to those who deserve it
And believe me y'all, he's worth it
So here's to the future cuz we got through the past
I finally found somebody that can make me laugh
(Ha ha ha) You so crazy
I think I wanna have your baby
Nilikuwa na hio album 'nineteen NAUGHTY three' huo wimbo hip hop horay nilikuwa naflow neno kwa neno...verse ya Vinny ndio nilikuwa naipenda sana! Hivi uliwahi kuwa na ile nguo tulikuwa tunaita OPP? (Hoodie)
USA babyNilikuwa na hio album 'nineteen NAUGHTY three' huo wimbo hip hop horay nilikuwa naflow neno kwa neno...verse ya Vinny ndio nilikuwa naipenda sana! Hivi uliwahi kuwa na ile nguo tulikuwa tunaita OPP? (Hoodie)

Ha ha ha ha early 90s ulikuwa huko tayari?USA baby![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Wewe noma sama unakumbukumbu balaa hivi unawakumbuka criss cross na kugeuza mavazi nyuma mbeleHa ha ha ha early 90s ulikuwa huko tayari?
Criss cross make u.....jump jump.....Wewe noma sama unakumbukumbu balaa hivi unawakumbuka criss cross na kugeuza mavazi nyuma mbele