Salt n pepa! Enzi ya enzi

Salt n pepa! Enzi ya enzi

Kuna group moja hvi la kisouth kama skosei jaman jina limenitoka sjui ni NAKOMAMANGA Mshana walipata hlo jina ni la nyimbo au Lao ka skosei waljtahid mnoooo pindi natolewa kamas na wakubwa
 
Kuna group moja hvi la kisouth kama skosei jaman jina limenitoka sjui ni NAKOMAMANGA Mshana walipata hlo jina ni la nyimbo au Lao ka skosei waljtahid mnoooo pindi natolewa kamas na wakubwa
Mnh hapana kwa South nawakumbuka zaidi Dialom Kids na Makhotela Queens
 
Umenikumbusha kikundi cha TLC nilikuwa na crush ni hicho kitoto Left Eye RIP
 
Mkuu umenikumbusha mbali SWV. Nimesoma nikamkumbuka Deborah Cox
Pole sana kwa kukukumbusha enzi hizo yote haya kayaleta mshana na mwenzie BAK kazidi kuchagiza khabari hizi. Yaah Deborah coz nae hakuwa nyuma na kina braxtone miaka ya baadae ndio wakaja kina Lil'Kim faith Evans kina fox brown palikuwa patamu hapo
 
Dah Faith Evans na ngoma yake ya ...have you ever been...
BAK please do the needful
 
Salt N paper with Dj Spinderela, kama niko sahihi! Milikuwa dogo ila nakumbuka vibao vyao kama twist and shout, na zingine kadhaa nimesahau majina ila melody nakumbuka!
What a man....
Let's talk about sex...
Shoop (not so sure)
 
Back
Top Bottom