Salt n pepa! Enzi ya enzi

Dah tumshukuru mzee ruksa kuruhusu vyombo vya habari huru. Tungekuwa bado tupo na miziki yetu ya msondo, nginde na bayankata.

Salt n paper
SWV
TLC
Haya ni makundi ya wakina dada waliotamba miaka ile ya mwanzo ya 90.
 
Aisee salt n pepa walikuwa kiboko sana!mmenikumbusha mbali sana[emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…