juve pauly
JF-Expert Member
- Jul 26, 2015
- 506
- 433
kale kamsemo ka "weakness of your competitor is your strengh" naona kataaply hapo;Hahaha
Saida sasa ahakikishe nayeye anarudi kupitia hapo hapo
*Wimbo mkali kishenzi
Ila domo anaweza jaman
kale kamsemo ka "weakness of your competitor is your strengh" naona kataaply hapo;Hahaha
Saida sasa ahakikishe nayeye anarudi kupitia hapo hapo
*Wimbo mkali kishenzi
Ila domo anaweza jaman
Kibakuli macho kodo!Kachacha huyo hana tena jipya. Baba lao the King of the Kings in Bongo Flava Ali K.
Wahaya wameanza kufanya mazoezi na huu wimbo kwa ajili ya harusi

Wahaya wameanza kufanya mazoezi na huu wimbo kwa ajili ya harusi

Yaani kaimba wimbo wa asili yetu halafu video Ina asili ya Nigeria na Yale majuba aloyavaa hahaa poor diamond , alikosa kushona hata vitenge aendane na tamaduni yetu watz, najua mtapinga ila kiukweli hajawatendea haki wabongo huo sio utamaduni wetu japo wimbo ni wa kwetu![]()
![]()
![]()
![]()
N kwel diamond anaelekea kupotea
Hiv anaigaje wimbo kihivyo?
Kapoteza mvuto kabisa
Nijuavyo mm wimbo wa saida kalori
Hizo swagga ni za Saida
Nmepoteza mb zng kuidownload hii
Shame to u WCB![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kuishiwa kimziki kubaya sana
Eti wao ni International. Mambo yao yako ki-international!Wahaya wameanza kufanya mazoezi na huu wimbo kwa ajili ya harusi




Wewe ni Muhaya?niseme tuu kutoka moyoni platnum nilikua cmkubaliii kivileee ila kwa hiii ngoma nime kaaa ila ina bidi amlipe saida
Inasemekana Saida Karoli aliuza haki za nyimbo zake yeye mwenyewe kipindi hicho zamani...nahisi sahivi ndo anaona hasara yake sasaIla dunia haiko fair kabisa, eti anayegawa haki ya wimbo ni Felician Mutta na si Saida Karoli, yaani kwa maana nyingine Siada Karoli huo wimbo hana haki nao haumuhusu daah, kweli shule ni muhimu