Mazee, unaelewa maana ya "kama hawakuelewana" ?Kesi inatoka wapi wakati washalipwa ela yao ambayo ni sawa na ela anayolipwa ali kiba kwaajili ya show
Wasanii wengi hawajui maana ya "publishing rights" See Music Publishing - How To Guide To Music Publishing | TuneCorepaper work zilifanyika mkuu.Muta Felicien aliekua meneja wa Saida kitambo alihusika since Saida alikua akiuza haki zote za umiliki(sijui kwa kujua au kutojua) kwake.sidhan kama Saisa atafaidika na lolote hapa.
btw:nimependa ubunifu wa video na kiwango cha Raymond..kazi nzuri
Yaaaaaaaaaaaaah kapendeeeeeeza saaaaaaaana, kuliko wanawake wote katika hiyo nyimbo!!!!!Namuona tunda katika ubora wake waah
hivi ulichoandika ume compare na mada tajwa hapo juuDiamond kazindua wimbo wake mpya ni ule wimbo wa Saida Karoli wa Salome kaumix mix.
Mwanasheria wa Saida anapanga kwenda mahakamani. Itakuwa nafasi ya Saida Karoli kurudi kwenye muziki maana atalipwa mamilioni naona. Tusubiri tuone.
This Song was written by Diamond Platnumz & Rayvanny in Tanzania 2016. The beat was produced, mixed and got Mastered by Lizer from Wasafi Records Tanzania. The Video was shot in Tanzania by Director Nicorux from South Africa, on the 10th of April 2016.
hivi ni kwanini umeandika wcb kwa herufi kubwa?N kwel diamond anaelekea kupotea
Hiv anaigaje wimbo kihivyo?
Kapoteza mvuto kabisa
Nijuavyo mm wimbo wa saida kalori
Hizo swagga ni za Saida
Nmepoteza mb zng kuidownload hii
Shame to u WCB![]()
![]()
![]()
![]()
![]()