Salome: Diamond Platnumz ft Rayvanny - General Views

Siamini kama diamond anaweza kufanya upumbafu kama huo bila kuogea na saida carol isitoshe dai ni mwanamziki wa kimataifa!
 
Hii nyimbo ni noma, kila napopita inapigwa mno, tangu Jana..nasikiliza sijaichoka..aisee huyu jamaa acha kabisa.... Ila Raymond bana.... "Ueeehhh mwenzako nyang'anyang'aa.. Uh mieee binzari we ndo nyanyaa, ngwangwaa isimamie kama kangaroo, uibane kama gwaruu... Huku nyuma babu nipige ngwangwangwaa"... Shikamoo wasafi sitaki kujua sana mlimaaniisha nini apo.
 
HAHA.. HUU WIMBO MKALI SANA NADHANI UTAITEKA DUNIA KWA VIONJO VYA ASILI.. TOKA JANA MPAKA LEO ASUBUHI NAUCHEZA , VIUNGO VYOTE VIMECHOKA, MWILI MZIMA UMEJAA JASHO NGOJA NIKAOGE KWANZA
 
Kesi inatoka wapi wakati washalipwa ela yao ambayo ni sawa na ela anayolipwa ali kiba kwaajili ya show
 

Attachments

  • 1474262193252.png
    79.3 KB · Views: 38
Habari wanajf!!
Yule msanii wakitambo saida kaloli kaachia wimbo wa salome kwa mara ya pili,japo sijaupenda sana kama ule originale wa Miaka hiyo...
Note: kwa mwendo huu saida kaloli hato rudi kwenye gemu tena.
 
Kaishiwa sasa...saida karoli umeibiwa mamaa
 
Mavazi ya Kitanzania ndio yapi hayo?!Maana nasikia mpaka leo kuna mchakato wa vazi la taifa
 
diamond haendag ngenge ni ngangangaaaaa ndio maana tifa kapata mdogo wake wa kiume
 
Inauma sana kwa huyu kijana wetu saida kaloli vampire lakini hamna namna hizi zitakuwa ni laana za bibi yake "zari la mentali"
 
naona watu wanakimbilia saida karoli wakati walikubaliana ngoja tusubiri tuone mnavyojinyonga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…