Salome: Diamond Platnumz ft Rayvanny - General Views

Salome: Diamond Platnumz ft Rayvanny - General Views

Huyu jamaa kufulia kimziki msaahau kabisa anajua nin anafanya na anatafuta solo kote note ndo mana watyu wengine wanamwona kama anatumia kipupwe Noooo But mshkaji mtafutaji sana Leo Bongofleva,Mara Mduara Leo kwa hiv lazima awe juu sikuzote kwakuwa haoneshi kama karidhika japo ndo Artist wa Bongo Fleva mwenye mafanikio kimziki zaid kwa hapa kwetu Tz Leokwa Saida Tena??Hahah Bigg upp Mondi wachapeeeee
 
Kukopi hainaga shida ni communication tu na mmiliki,hongera sana diamond endelea kupaaaaaaaa tyuuuuu
 
Duuu watu mnakosa kufikiria kabisa. Diamond anaanzaje eti kuiba wimbo ambao kila mtu anajua Saida Karoli ndie aliuimba? Alichofanya Diamond ni kama walivyofanya watu wengine kama akina Lady Jaydee, Mr. Paul, na nyinginezo. Wala si suala la kuiba bali kaupenda wimbo akatengeneza upya. Mfano mwingine ni Christian Bella alivyoimba ukimuona ya Diamond, na Ruby alivyoimba Utanipenda ya Diamond.
 
Wamewekeza kwenye nyimbo nzuri na wameongezea ujanja wao imekua nzuri ila nashindwa kujua yupi ni diamond na yupi ni raymond, nitawatofautisha video ikitoka.

Pia ningependa kujua ni nani mnufaika wa copyright ya Salome original version iiyoimbwa na Saida Karoli?
Ni muhimu kujua hili kwakuwa huu mziki wa saida umepata mwekezaji anayeenda kupakua mamilion very soon kwa tunaofahamu muziki tumeshaona hilo tayari. Je bidada anakwenda kunufaika na nyimbo hii?
video imetoka
 
ni shabiki mkubwa sana wa WCB but kwa hii nimeshindwa kabisa kuwaelewa hawa wadau wameimba makorokoro gani aise...ngoja nisubiri kitu cha uhakika cha ft ne-yo!huu cdhani km utafanya poa sana,japo najua katoa ili kucndikiza hiyo ngoma yake na ne yo ambao cjui itatoka lini.
 
Aisee,, saida aliteneneza na diamond kaboresha,,, team miwivu wajinyonge,,, Hata wimbo wa jennifer lopez on the floor ali copy kama ule wa la mbada lakini aliteka soko
 
msambwanda!! ila jaman nitoe tuu tunu zangu huku nyie watoto wa kike wa kihaya mmejaaaliwa neema za Allah hat are napenda pia tabia yenu ya upole na mengineyo
 
Back
Top Bottom