joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,391
- 41,507
Kiba kaimba nyimbo ya ISSA MATONA kimaso maso, Jide muogo jang'ombe na siwema , Mr Paul zuwena hawa wote hawajashtakiwa ila diamond platnumz ndio ashtakiwe, punguza roho mbaya kwa kijana mwenzio mtafutaji.