Salma Kikwete ni first lady tu au naibu waziri mkuu?

Acha ujinga wewe! Unafikiri jinsi unavyopelekwa pelekwa na mkeo ni wanaume wote wanafanyiwa hivyo! Kama rais wako nae ni kama wewe usidhani ni jambo la kuzungumza hadharani. Ni upuuzi huo!

Filipo upo!!!! Naona mkuli umetua mahala pake.
 
Nadhani aliongea kama Mama aliyeona uchungu kwa tukio lilivyotokea, ni hisia tu kama binadamu mwingine anaweza kuona huruma mpaka kushikwa na tafrani ya kutamka jambo lolote.
Hajawahi kuongelea mauaji ya Nyamongo Tarime na kwenye migodi mingine hapo inakuwaje???????
 
mama Kikwete ana akili sawa na mumewe kwahiyo usishangae, kuna msemo mmoja unasema ndege wa rangi moja huruka pamoja
 
WATANZANIANI VEMA KUJADILI KWA TARATIBU HOJA NZITO KAMA HIZI ILI KULETA MAANA YA FORUM YETU NA KULEKEBISHA YANAYO SEMWA.ulinzi ni haki ya kisheria,na heshima ni sehemu yake katika kukamilisha ushauli kwa Mh.la kueleza ni garama kufanya misafara mikubwa pasipo lazima ya msingi..pia heshima anayopewa mke wa rais anaweza kuomba chombo cha dola kutekeleza agizo lake kwa haraka na umakini..
 
Matamshi yaliyokuogopesha ni yapi? kwani wewe ni jambazi? kama si jambazi,unaogopeshwa na lipi?
Katika televisheni aliripotiwa akitamka kuwa anasema kama Mwenyekiti wa WAMA,JE, kuna tatizo gani hapo?
Hebu tukatae siasa za bughudha na fitina, hazina maana.
Hivi nani miongoni mwetu asiyejua kuwa mke wa Rais ni tofauti na wake zetu,ingawa wote ni wake.

Hata malaika wana daraja tofauti, katika hili hatuwezi kupata mazingatio hadi tumuone mke wa Obama au Clinton? au Salma Kikwete angekuwa kama mke wa Mwai Kibaki hapo jirani?
 
WATANZANIANI VEMA KUJADILI KWA TARATIBU HOJA NZITO KAMA HIZI ILI KULETA MAANA YA FORUM YETU NA KULEKEBISHA YANAYO SEMWA.ulinzi ni haki ya kisheria,na heshima ni sehemu yake katika kukamilisha ushauli kwa Mh.la kueleza ni garama kufanya misafara mikubwa pasipo lazima ya msingi..pia heshima anayopewa mke wa rais anaweza kuomba chombo cha dola kutekeleza agizo lake kwa haraka na umakini..

Kama ni hivyo mwenyekiti wa MEWATA na Mama Ananilea Nkya watembee na misururu ya gari 15 coz michango yao kwenye jamìi ni mikubwa tofauti na hicho cheo cha heshima sijui kumfanya mke wa rais asionekana yuko loose, hastahili kupewa heshima kama vile ni kiongozi mkubwa wa serikali..wajifunze kutoka nchi zengine
 
kikwete anangoza nchi kijanja jana sana....na huyu mama .....anaya ngoja ninyamaze tu
 
muanzisha mada mwenyewe ameanzisha kinafiki, ameanza kama mke mwenza wa Salma
Hivi huna lugha ya staha kwa Rais wako? Kwani rais ana wake wangapi? Mie namfahamu Salma.

Unajuaje kuwa aliyeanzisha thread ni ke na kama ni me kwenu wanaume wanaoana. Sijalisikia hili. Najua Wakwere me na me hawaoani.
 
Salma ni Waziri wa mambo ya nyumbani mwa Kikwete. Kujihusisha na mambo ya kitaifa yaonyesha umbumbumbu wake kiakili. Kutofokea na mumewe kitandani pia kunaonyesha jinsi gani Dokta wetu alivyopendelewa kupewa hiyo heshima ya udaktari asiostahili. Jukwaani sisi tunaona wote wawili (Kikwete na salma) ni sawa maana hawana hoja nzito na wapwaya. Kama ni suti basi imetundikwa juu ya mti!
 
Back
Top Bottom