Msongoru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2008
- 306
- 24
Kuna habari kwamba wakazi kadhaa wa jijini wana mpango wa kumtumia mtu aliye karibu nae ili amsaidie mama huyu. Yasemekana wanawekwa foleni kubwa kwenye magari ili tu yeye apite aende salon mara kwa mara. Wanadai uvumilivu wa usumbufu huu umewashinda!!