Salary slip kwa watumishi wa Serikali

Watumishi portal inafanya kazi vizuri ila haitoi msaada wote kwa mtumishi kwa mfano ukihitaji salary slip ya mwaka mmoja nyuma huwezi kupata huduma.
 
Ninaambiwa sijahakiki akaunti. Kwamba nifanye hivyo kwa kubofya ktk email niliyotumiwa kwenye address yangu. Ila sijatumiwa chochote.
 
mkuu hii kitu sidhani kama utaweza kupatiwa,

hii mifumo ya kujipatia salary slip online, ina salary slips za mwezi anzia huduma ilipozinduliwa.

mfano, kwenye website ya www.salaryslip.mof.go.tz kuna salary slips za mwezi July 2017 mpka mwezi November 2017.

pia kwenye watumishi Portal ni vivyo.
Mkuu, Nimeshindwa kujisajili Utumishi Portal Baada Ya kujaza Jina,Email na Check No. Kuna Sehemu mbili chini ziko wazi hawajasema natakiwa nijaze nini
 
Ninaambiwa sijahakiki akaunti. Kwamba nifanye hivyo kwa kubofya ktk email niliyotumiwa kwenye address yangu. Ila sijatumiwa chochote.
Kwenye email yako angalia kwenye "spam", email za utumishi haziko encrypted kwahiyo inapotumwa kwenda account ya gmail au hotmail haiendi kwenye "inbox" wanaitupia kwenye spam
 
Back
Top Bottom