Salary slip kwa watumishi wa Serikali

Bado nimekwama. Nikiingia naandikiwa hivi: SAMAHANI BADO HUJAHAKIKI AKAUNTI YAKO. HAKIKI AKAUNTI YAKO KWA KUBOFYA KWENYE BARUAPEPE YAKO ULIYOTUMIWA NA WATUMISHI PORTAL. Hata hivyo sioni baruapepe yoyote kutoka watumishi portal. Nifanyeje ndugu?
Angalia kwenye spam emails, kama haipo wasiliana na dawati la msaada wapo fasta watakujibu inawezekana ulikosea email. Unawapa email sahihi na check namba watakurekebishia.
Ila watumishi portal ni nzito sana sio user friendly.
 
Samahani ndg nimejisajil wizara y'a fedha bahati Mbaya laini namba y'a simu nimeibadili na email nimesahau Paesword
Kuna namba za simu hapo kwenye website.
Jaribu kuwapigia Jumatatu kuanzia muda wa saa mbili asubuhi watakusaidia.
 
naombeni msaada ni takribani miezi miwili sasa kuna akaunti niliyokuwa naitumia mwanzo na nilijiunga lakini sikufanikiwa ila nikaja nikafungua akaunti nyingine sasa naingiza taarifa za kujisajili wanasema your (check no yangu sasa)has already taken kila nikiingiza taarifa,,,sasa naomba msaada wenu
 
Unakumbuka email address uliyoitumia mwanzo? Kama unaikumbuka unaweza ku-reset password ukaendelea kuitumia ya mwanzo.
Check no moja haiwezi fungua akaunti mbili
 
naombeni msaada ni takribani miezi miwili sasa kuna akaunti niliyokuwa naitumia mwanzo na nilijiunga lakini sikufanikiwa ila nikaja nikafungua akaunti nyingine sasa naingiza taarifa za kujisajili wanasema your (check no yangu sasa)has already taken kila nikiingiza taarifa,,,sasa naomba msaada wenu
suala kama hili nadhani pale kwenye site husika kuna kipengele cha msaada, tumia hapo wata kusaidia nini chakufanya.
 
Wafanyakazi tunahitaji kuletewa salary slips zetu kama ilivyokuwa zamani.
Kitendo cha kutulazimisha kuingia kwenye webu ili kipata slips hizo hakukuwa ktk makubaliano ya ajira.
Wengine hatuna elimu ya kuperuzi kwenye web.
Wengine hatuna elimu ya mtandao,
Wengine hatuna computer za kuperuzi.
Wengine haruna umeme huku vijijini.
Tunaomba slips zetu.
Kama Amani
 
Back
Top Bottom