Wazazi wako walikuwaga Ukiriguru baadae wakaenda Mpwapwa?🙄🙄Nashukuru sana
Wazazi wako walikuwaga Ukiriguru baadae wakaenda Mpwapwa?🙄🙄Nashukuru sana
KaribuNashukuru sana
Ingia
www.utumishi.go.tz
Kushoto tafuta watumishi portal, kisha jisajili. Ili kujisajili utahitaji
1. Email yako
2. Check no (hii ndo itakua na taarifa zako)
3. Password
Ukishajisajili sasa utaweza ku Log in katika hiyo portal.
Kiufupi portal yao wamejitahidi kwa level yetu, iko simple na rahisi kutumia, wana
1. Taarifa zako (hapa ndipo kuna kipengele cha salary slip)
2. Option ya kutafta mtu wa kubadili kituo cha kazi
3. Sehemu ya kuwasilisha malalamiko na kufuatilia
Update:
1. Ingia www.salaryslip.mof.go.tz kisha jaza taarifa zako kama za kiutumishi, wastani huchukua siku 1 kuwa confirmed. Kwenye website ya www.salaryslip.mof.go.tz kuna salary slips kuanzia July 2017
Ipo kwenye marekebisho mkuu. Kuna taarifa za kiutumishi wanaziweka sawa.Hii site iko ya ku-download hizi Salary Slipis ni kweli iko kwenye marekebisho au ninapata error message ambayo ni scam? Sina Salary Slips kuanzia February 2019 mpaka August 2019, na nikituma email kwa dawati la msaada sipati response yoyote. Kabla ya hapo, nilikuwa blocked kuingia na kwa hiyo kwa mwaka uliopita peke yake nilikosa pia Salary Slips za February 2018 mpaka August 2018, na sina mpaka leo. Je hili tatizo na wengine mlikumbana/ mnakumbana nalo?
Double registration ilishawahi kunisababishia matatizo nikawa napata Salary Slips mbili tofauti kwa mwezi huo huo. I would better wait. Huwa natumia Watumishi Portal tu all the timeIpo kwenye marekebisho mkuu. Kuna taarifa za kiutumishi wanaziweka sawa.
Kwa ufanisi zaidi tumia hii
Mmnhu haya mkuu...Double registration ilishawahi kunisababishia matatizo nikawa napata Salary Slips mbili tofauti kwa mwezi huo huo. I would better wait. Huwa natumia Watumishi Portal tu all the time
Hiki ndicho kinacho andikwaIpo kwenye marekebisho mkuu. Kuna taarifa za kiutumishi wanaziweka sawa.
Kwa ufanisi zaidi tumia hii
Huwa ipo hviHiki ndicho kinacho andikwaView attachment 1217956
Watumishi Portal Salary Slips ziko kwenye soft copy pia, ila you can make a print out ukawa na hard copy, if you wish. Hizi Salary Slips zote ziko sawa na zinatoka sehemu moja, why should someone register twice?Mmnhu haya mkuu...
Ila hii ni website ya hazina, na salary slip zao ni softcopy ya zile za karatasi za awali ambazo siku hizi hawatoi tena katika huo mfumo wa hardcopy.
Hiyo site ni fanisi zaidi kuliko huko unakokutegemea. Watumishi portal salary slip zake zilikuwa hazieleweki.
Basi mkuu, hayo maelezo hapo juu, siyo ya lazima, ilikufupisha maelezo endelea kusubiri hiyo watumishi portal irudi hewani.Watumishi Portal Salary Slips ziko kwenye soft copy pia, ila you can make a print out ukawa na hard copy, if you wish. Hizi Salary Slips zote ziko sawa na zinatoka sehemu moja, why should someone register twice?
Kwenye registration vote code ni ipi unaijaza?Huwa ipo hviView attachment 1218323
Hakikisha una nakala ya salary slip ya zamani taarifa nyingi unazitoa pale.Kwenye registration vote code ni ipi unaijaza?
Ninayo mkuuHakikisha una nakala ya salary slip ya zamani taarifa nyingi unazitoa pale.
Sawa wakati unajaza zile space unawekewa mfano. 87P7, au 81M4 nk hiyo ndio vote code so angalia katika salary slip yako imeandikwa nini ndio ujaze pale.Ninayo mkuu