Salary slip hewani, no increment no ongezeko

Pamoja na hayo ila mna njaa kali.
Nani hana njaa dunia hii,hiyo ni haki yetu serikali inatoa malipo baada ya huduma hivyo hatuikopi serikali.Boss nipe mchongo nijikwamue niongeze tumiradi maaana huyu msukuma wa chato ukitegemea mshahara pekee tutakufa.
 
Ukuda huo unataka kumchota nani wewe salary slip haitoki kabla ya mshahara labda mwenzetu ushapata mshahara
Kapata mshahara wa zambi ya uzinzi uharo au fumanizi
 
Kama una mtaji njoo tufanye biashara.
Nani hana njaa dunia hii,hiyo ni haki yetu serikali inatoa malipo baada ya huduma hivyo hatuikopi serikali.Boss nipe mchongo nijikwamue niongeze tumiradi maaana huyu msukuma wa chato ukitegemea mshahara pekee tutakufa.
 
mishahara ikoingezeka kwa kutangaza-itasababisha mfumuko wa bei-kauli ya waziri mkuu!
 
Na hapo ndipo ninapoonaga watumishi hovyo sana, yaani huwa wanalegezwa hata kwa karanga za kuonjeshwa... tehteehhh
sasa output yao yenyewe ni sawa na zero,waongezewe mshahara wa nini?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…