Salamu zako mwana jf

Salamu zako mwana jf

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,326
Reaction score
3,446
SALAMU ZAKO
Salam zako ww ambao hujawahi kutoka na mpenzi wako,eti ooh am busy..subiri usaidiwe sasa
Salam zako ww gal siku nzima hujui hali ya mpenzi wako ukiulizwa ohh guy ndo anatakiwa anipigie..acha umbulula utaibiwa
Salam zako ww gal uko na guy wako ila huishi ku-flirt na guyz wengine...tulia maisha mafupi haya
Salam zako ww unaezani kila mnene ni neema,pole wengine majanga
Salam zako ww gal kutwa kusema "mi sipendi mwanaume asiejua kuhudumia",pumbafu 24/7 umekaa unaangalia startimes afu umpe kaka wa watu majukumu ya kibaba kisaa...jipange bidada
Salam zako ww guy ur gal kakuamini kakupa mwili wake unauchezea unavyotaka afu unampotezea...remember mtenda hutendwa
Salam zako ww gal unamhug ur guy unakimbilia kiuno,dafq we basha?,mshike bega mwache achezee kiuno
Salam zako ww guy waona aibu kumshika gal wako mkono hadharani,vp uoga?ulimtongozea nn?...sio inshu mjamaa
Salam zako ww mdada tangu umeanza uhusiano hujawahi kumnunulia mpenzi wako hata vest,eti ooh wanaume ndo wanapaswa...hahaha.acha ubahili mapenzi nipe nikupe,utaibiwa
Salam zenu nyie,mpo watsapp mda wote na mnaonekana online typing ila hamtextiani,vp kwano mmelazimishwa mapenzi ka vp achaneni
Salm zako ww guy,waishi alone,mashuka hufui hadi uingize mwanamke getto,jipende,usafi muhimu
Salm zao galz ambao siku zote guy zao ndo wanawataka ktk ladha,ina maana nyie hisia hamna?,acheni maigizo tupo kidigitali sahv
Salm zenu nyie ambao mpo kwenye uhisiano na hamjawah kupima,ohooo ukimwi upo na unauaa
Salam zako ww msomaji ambae kwa namna moja au nyingine nimekugusa,samahani ni mawazo tu ndo yamenituma kusema yote haya.....Ni hayo tu kwa leo
 
Hapo kwenye BOLD, usikute na hiyo startime yenyewe kanunuliwa na huyohuyo anayemwita hajishughurishi
 
hahaaa umenichekeshaje....,inabidi ajishughulishe hiyo package kila mwisho wa mwezi mtanunuaje!!
Akiachiwa kulipa, ndo utasiki majanga yanaanza.... Mnakuwaga na nyodo nyie, maneno tele, utafikiri mmemeza flash, ipod, CD, VHS... etc etc bila kusahau window player... Hatakawia eidha kutoisha tena kwa vile imeishiwa airtime, au atalipia ile ya mwisho kabisa full vikatuni

Salaam zako wewe mndengereko ambaye jana ulionekana ukipiga chabo kile chumba cha jirani yako. angalia ucje pata kipigo cha mbwa mwitu.
 
nipige chabo nitafute nini wakati ninae wa kwangu,reality is better than a dream!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom