Tamatheo
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 3,298
- 1,562
Salamu hiyo ya bold naituma kwa rafiki yangu mmoja, nathani umenipata mkuuSALAMU ZAKO
Salm zako ww guy,waishi alone,mashuka hufui hadi uingize mwanamke getto,jipende,usafi muhimu
Salm zao galz ambao siku zote guy zao ndo wanawataka ktk ladha,ina maana nyie hisia hamna?,acheni maigizo tupo kidigitali sahv
Salm zenu nyie ambao mpo kwenye uhisiano na hamjawah kupima,ohooo ukimwi upo na unauaa
Salam zako ww msomaji ambae kwa namna moja au nyingine nimekugusa,samahani ni mawazo tu ndo yamenituma kusema yote haya.....Ni hayo tu kwa leo
Salamu nyingine namtumia mtoa salamu...Usiishie kuandika nawe usome na kutafakari