Salamu zako mwana jf

Salamu zako mwana jf

Ewe kaka unaringaaaaa unaringa kitu gani *2

Kyupi yako ya bazoka ukija.mba inatuna mamaaaa

Wape wapeeee eeh vidonge vyao, wakimeza wakitema ni shauri yaooo

Hahahah naona watoa vipande vya mitikisiko ya Pwani kitu ng'aring'ari...

Hivi huu wimbo aliimba Nasma Khamis Kidogo eenh?
 
salam zako wewe mwana jf kutwa nzima uko jf jukwaa moja hubadiishi jukwaa kujua nini kinaendelea kwingineko....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom