Salamu zako mwana jf

Salamu zako mwana jf

Salam zako ww guy ur gal kakuamini kakupa mwili wake unauchezea unavyotaka afu unampotezea...remember mtenda hutendwa

Hehehe...kwa hiyo hapa mwanaume atatendwa kwa kuchezewa maungo gani ya mwili wake?
 
Salam zako ww unaezani kila mnene ni neema,pole wengine majanga

Sheikh Kipozeo akiona hii maneno, wallah tena hata kuelewa yakheeh...hujui kuwa miss Bantu sisi wengine ndio mizigo yetu hiyo...kwani si ndio neema za alah
 
Mkuu, hivi unajua kuwa sisi wanaume tukitoka kuamka ndio muda pekee ambao huwa tuna sauti zinazowavutia sana wamama!
hiyo makitu tunaiita HUSKY voice mtani!
eheheheh no wonder morning glory ni mada mtambuka asee!
 
kumbe umekula chumvi kimtindo eehhh!!!!

Nilikuwa mpenzi sana wa RTD mkuu...vipindi karibia vyote nilikuwa nasikiliza labda kwa kuwa ndio kilikuwa kituo pekee cha redio.
Salamu za Wagonjwa Hospitalini, Kahawa ni Mali, Wakati wa Kazi n.k
 
Haahaahaa! Salamu zako wewe Mokoyo sijui umejificha wapi?
 
Last edited by a moderator:
Nilikuwa mpenzi sana wa RTD mkuu...vipindi karibia vyote nilikuwa nasikiliza labda kwa kuwa ndio kilikuwa kituo pekee cha redio.
Salamu za Wagonjwa Hospitalini, Kahawa ni Mali, Wakati wa Kazi n.k
labda kwa kkweli sisi tulioazaliwa kipindi jakaya yupo madarakani wacha tuendelee kusikiliza east africa na times tukinadilish sana kiss fm!!!
 
Heaven on earth njoo ututhibitishie haya madai tafadhali!!!

Mtani wangu snowhite kashakuthibitishia hapo juu...yaani ukiamka tu unakohoa kidogo kurekebisha koo...halafu kile kibesi kitokacho hapo kama Subaru Forester iliyowekwa silencer...mtoto wa kike utamuona mwenyewe anajisogeza...waliosema "sauti nyororo humtoa nyoka pangoni" nadhani walisahau kuwa upande wa pili kuna "sauti nzito humvutia/humrudisha nyoka arudi pangoni"...

:::wanaoelewa fasihi ndio watakao zielewa hizo semi zangu...teh teh!!!
 
Mtani wangu snowhite kashakuthibitishia hapo juu...yaani ukiamka tu unakohoa kidogo kurekebisha koo...halafu kile kibesi kitokacho hapo kama Subaru Forester iliyowekwa silencer...mtoto wa kike utamuona mwenyewe anajisogeza...waliosema "suti nyororo humtoa nyoka pangoni" nadhani walisahau kuwa upande wa pili kuna "sauti nzito humvutia nyoka arudi pangoni"...

:::wanaoelewa fasihi ndio watakao zielewa hizo semi zangu...teh teh!!!
eehehehehheh threse no place like home!
 
Heheh mwanaume hachezewi bwana...ushawahi kusikia wapi Simba anashikwa sharubu!!!
kuna rafiki yangu wa kiume nilikuwa nae chuo alikutana na demu bar demu akamfagi mchizi mshkaji akawa anapewa $$$ balaa akiulizwa uko wapi akisema nipo bar nakunywa safari anatumiwa kilo anunue heineken basi wakawa wanangonoka mpk.. mwisho wa siku demu kampigia simu mchizi akamwambia kuanzi lleo mimi na wewe basi nina mtu wangu sasa hapo utasema nani kachezewa!!
 
Hakuna aliyechezewa hapo...kama kufaidi wote walikuwa wanafaidi...hata maziwa huwa yanaeksipaya jombaaa!!!

kuna rafiki yangu wa kiume nilikuwa nae chuo alikutana na demu bar demu akamfagi mchizi mshkaji akawa anapewa $$$ balaa akiulizwa uko wapi akisema nipo bar nakunywa safari anatumiwa kilo anunue heineken basi wakawa wanangonoka mpk.. mwisho wa siku demu kampigia simu mchizi akamwambia kuanzi lleo mimi na wewe basi nina mtu wangu sasa hapo utasema nani kachezewa!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom