Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,554
- 11,485
- Thread starter
- #21
Hehehehheheheeeee Mr Rocky unadhani Amyner ni cheap kama wakezo Yummy na yule mpya(Jina kapuni)Erickb52 umekuja kufuata nini bana
Nilikuwa nishashangilia naanza kumvizia Amyner kumbe unajitokeza bana
Afadhsali lakini umeenda kuwasalimia wale watoto wako kule meatu maana walikuwa wanapata shida sana Mtambuzi mbona umetoa piccha ya mke wangu Dena Amsi bana na mimi nilikuambia ni siri usiitoe
halafu Erickb52 nilimuona Asprin mitaa ya hapa sijui alikuwa anakuja kumkagua nani aise
na Bishanga nasikia anamuwania sana Amyner na alivyo na manoti chezea tajiri wa kihaya wewe utaangushwa soon
Last edited by a moderator: