Salamu Toka kwa Erickb52

Mtoto akililia wembe mpe.......... Haya mwanangu King'asti huyu hapa......LOL

African-American-Marine-woman1.jpg
Heheheeee nimekukubali baba mkwe mzee Mtambuzi
 
Last edited by a moderator:
Au alienda kutega watoto wa ESSO?

Watoto wa esso mwanangu si mchezo! Walimnyanyua jamaa miguu juu wakakung'uta kila kitu! Hawasaji wale bali wanakusaula! Mshkaji tulimkuta na kabukta tu! Muulize Pakajimmy anapaelewa vizuri!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom