sweetlady shikamoo marahabaNilienda nikakuta holaaaa mwenzio ndio mana sijakustua.....ila jumanne tutawakilisha..... Afu hiyo tabia ya kubadilisha signature kila kukicha umeianza lini?
mekumiss wewe mpaka basi
Last edited by a moderator:
sweetlady shikamoo marahabaNilienda nikakuta holaaaa mwenzio ndio mana sijakustua.....ila jumanne tutawakilisha..... Afu hiyo tabia ya kubadilisha signature kila kukicha umeianza lini?
Erickb52 ulikuwa hujambo?
Nilienda nikakuta holaaaa mwenzio ndio mana sijakustua.....ila jumanne tutawakilisha..... Afu hiyo tabia ya kubadilisha signature kila kukicha umeianza lini?
sweetlady nakupenda mpaka kumoyoMarahaba Mr Rocky miss you more aisee.....siku hizi naona hunipendi kama zamani !
Hehehehe hii post naitoa photocopy kwa matumizi ya baadae.....hao na walie tu!
Taratibu Mkuu, unayoyakuta humu, unayaacha humu humu!
Nilikuwa katikati ya uwanja!
Nimekufananisha na one lady who looks very sweety! I hope she was you!
Mh....sina hakika manake mie sikuwa katikati ya uwanja lol.