Heheheeeee naona kwa hapa umemsahau platozoom ambaye alifirisika mara tu baada ya kuachwa na charmingladyTena umebaki peke yako,
wale vidume wote wamefilisika mbaya kuanzia Asprin, Kaizer, Bishanga, Mr Rocky, Judgement, Smiling Saint, Nicas Mtei na wameingia mitini kina dada wamebaki wanashangaa tu humu.
Au mi ndo nilikuwa porini?Nipo mbona, umenitafuria wapi?Asante kwa salam, nakukumbuka pia.
- Binafsi namtumia salam dada afrodenzi popote alipo. Ujumbe wa leo: Raha ya salam kurudishiana. Salam zangu zisindikizwe na wimbo: shadow dancer wa Lokua Kanza.
- Salam zangu za pili zimfikie alter ego, bi AshaDii. Ujumbe wangu ataupata kwa njia tunazo zijua wenyewe. Hint: "en decolleté plongeant-vertigineux aujourd'hui, je me sens irresistible"
- Salam zangu za mwisho kabisa ni kwa ndugu zangu Makedha, @3d , mose na Gajungi. mmepotelea wapi? Miss you vi-major!
shem Judgement, beibe nasty kagoma kunipa namba...
erick mi staki salam zako hadi umrudishe mke wangu,vinginevyo jamvi litachimbika,muulize Nyani Ngabu nilimfanya nini alipochezea anga zangu,mpaka NN ni kanzu tu suruali anaisikia kwenye bomba.
Hahahaaaa mi nishaweka oda ya Kinga kwa Kongosho kanambia nimpelekee mnafu wa blue na Kuku wa kijani kabla ya saa sita jioni!erick mi staki salam zako hadi umrudishe mke wangu,vinginevyo jamvi litachimbika,muulize Nyani Ngabu nilimfanya nini alipochezea anga zangu,mpaka NN ni kanzu tu suruali anaisikia kwenye bomba.
Hahahaaa wengine si walikuwa wanampiga mabuti akanahatika kwa The secretaryMke wako au wake zako.
Amyner anajua haya au ndo ushamdanganya kuwa unaenda kwenye mkutano wa dini
Hahahaaaa nampenda sana CUTE na kwa kuwa mimi niko na Amyner siwezi kuwa nae so ndo natamani awe na mdogo wangu BAGAH coz dogo nae katulia siku hizi
Yethuuuu nilithahau ntampa bana methahau tuu wala thio kuthudi kabithaaaaaMwambie asikunyanyase! Au ntamnyima makitu mazurimazuri !
Kaka ukimnyima shem makitu mazuri mazuri itakula kwako oooh kuna watu wametega wanangoja uache wabebe( Bishanga ) Wazee wa kuokota mabaki
Hajui ila ananiamini sana tu so mwache aendelee kuniamini coz nampenda sana na hakuna kama yeye hata Remmy haoni ndani