Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,743
- 10,738
G
Nimejopa anangalau two weeks more manake kukata kilaji ghafla na kwenyewe ni hatari kwa afya mkuu...Mwaka 2019.
Salamu zangu ziwaendee waliotoa ahad za kutokunywa Beer ila mpaka leo washakunywa bia Ming sana.
hongeren ila jua hauko mwenyewe
Salamu pia kwa wanaume/wanawake waliokwisha lala na wanawake/wanaume zaid ya mmoja ndan ya siku hiz 4.
Umetisha sana..ww ni Master.
Naomba tutambuane kwny comments
Sent using Jamii Forums mobile app