Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,012
- 23,613
Kiaina, ukimtamani Salama, una uwezo pia wa kumtamani mwanaume. Hatari sana.
Halafu mkuu tumia kiswahili kizuri. Siyo kupigwa mimba ila ni kudungwa mimbaWakati napita pita kwenye milardayo dot com nimeona kuna hii habari ipo kwenye kichwa cha habari cha gazeti la MIKASA. Kwa wale watakaobahatika kuisoma naomba mje mnihadithie ni mimba ya nani na ina miezi mingapi..? Asante
Asante mkuu. Bado najiuliza sijui ile ilikuwa mimba hewaHalafu mkuu tumia kiswahili kizuri. Siyo kupigwa mimba ila ni kudungwa mimba
Ameanza kuendesha planet bongo kama mwaka 2003 hivi na alikuwa anaonekana tayari yuko matured, so kwa logic tu ya kawaida naunga mkonyo hoja kwamba ana zaidi ya 30
Kudungwa mimba?Mwanzisha uzi ungeenda kwny point yako ya msingi, najua ulikuwa na wasiwasi kuhusu hilo, kama vile haliwezekani.
Inatakiwa binadamu amng'ate mbwa (ndiyo iwe habari), hapo ni mbwa kamng'ata binadamu (siyo habari) ni kawaida yake.Kudungwa mimba?
Je nayo ni habari?