Salaam! tells how potential you are!

Salaam! tells how potential you are!

TheDealer

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2012
Posts
2,424
Reaction score
1,133
Unahitaji kufahamu potentiality yako within your community, mfano ofisini! shuleni! nyumbani!

Veeery simple!
Angalia km mara nyingi unawaiwa kusalimiwa ama wewe ndio unawahi kusalimia! Kama wewe ndio wa kwanza kwanza kusalimia basi ujue wewe potentiality yako ni low rated, ila km ndio wa kwanza kwanza(kutanguliwa) kusalimiwa ujue kuwa potentiality yako kwa hao watu ni high rated!
 
Jiulize how potential you are within your own community!
 
A layman perspective!
I'm very sorry I was born in a country where a mere bwanashamba can work as an accountant.
 
A layman perspective!
I'm very sorry I was born in a country where a mere bwanashamba can work as an accountant.

Aisee, ni rahisi zaidi kutambua a layman comment kuliko kutambua a braveman comment! where do you fall?
 
Kwenye ndoa je?

humu tena ndio veeeeeery simple kabisa: "kusikilizwa na kuaminiwa" km mume wako ama mke wako anapenda kukusikiliza na kukuamini, then know that your potential is high rated!
 
humu tena ndio veeeeeery simple kabisa: "kusikilizwa na kuaminiwa" km mume wako ama mke wako anapenda kukusikiliza na kukuamini, then know that your potential is high rated!

Ngoja nimpate kwanza.
 
Wakwetu naona kama hujaridhika? Nimejaribu na nishukuru nimefanikiwa na kuneemaka. au uliza wengine... Nothing to loose!

nimeridhika kidogo mkuu, am puzzled about how to raise chances of being lucky, otherwise luck is not given its earned there i may understand mkuu!
 
Back
Top Bottom