Salaam SK- Harmonize bifu hilo kwio

Sasa kupeana mkono nyota unaibiwa kivipi ?Gubu tu maana Harmonizer alikuwa fursa kwao. Kijana anapiga show asilimia zote zinakwenda kwa kina salaam. Yeye anapewa pesa ya ice cream tu.
Yaani hii inafanana na umeajiriwa halafu mzigo mkubwa unapiga kazini ila malipo kiduchu.
Mara ukaacha kazi ukaamua kujiajiri halafu ukatusua ile mbaya.waajiri wako wa zamani wakikuona lazima wakuchunie
 
Huyu Sallam sk ajishikilie na utu uzima alionao, kwan Konde kamkosea nn yeye? Jitu zima hovyooooooooh. Mxieeeeeeeeeeeeeeeew
 
Kwio ni sauti anayotoa Kuku. Kuku maana yake ni qummer kwa uswahilini. So katika ule wimbo unavyosema 'Unamtaka kwio' actually alimaanisha 'Unataka qummer'

Hivyo kwio ni qummer.
Dah hatar sana mkuu kama hyo ndio tafsir yenyewe Asante kwakunifahamisha pia
 
Msibani morogoro mazishi ya Mke wa Babu Tale, SALAAM SK mmoja wa mameneja wa Diamond akataa mkono wa HARMONIZE, binfsi sijapenda bifu hadi msibani? kama hasira angekuwa nazo Harmonize kwa zile M600, sio yeye. Nb kumbe Wcb walikuwa wanafaidika na uwepo wa TEMBO sasa mambo magumu
Harmonize amejaribu sana kuenda sawa na wenzake aliowaacha WCB lakini jamaa wamejenga chuki kubwa dhidi yake.
Namshauri Harmo hizo bifu zisimpotezee muda aendelee kuchapa kazi
 
Back
Top Bottom