Salaam SK- Harmonize bifu hilo kwio

Hamo ana Nini maana kiba na fid q walimkimbia

Sent using Jamii Forums mobile app
Wivu tu.
Watanzania ndivyo tulivyo, hata kwenye familia zetu. Aliyejuu ni mwema kwako as long as bado yuko juu yako, siku ukimfikia ndo utamjua vizuri. Sasa wewe jishaue upande umpite hapo alipo, walah utamkoma.
Hata ukikuta mtanzania anayejidai kuwa na roho nzuri, atakusaidia ufanikiwe ila kamwe usifanikiwe ukamfikia.

Starehe yetu na sie makabwela, tukifanikiwagwa wengi wetu huwa tuna nyodo kama za bwana Jiwe alizokuwa anamfanyia JK mwanzoni mwa utawala wake. Alimuanzia bungeni bonge la spichi akimchana laivu mwenyewe akiwepo, vijembe havikuishia hapo, mara waifu lokapu, mara nini, etc. Japo siku hizi naona hamfanyii nyodo tena, sijui kulikoni.

Kwahiyo wabongo ndo shida yetu, walionacho na wasionacho wote pasua kichwa.
 
Hawa wajinga wanampa kiki bure Harmonize. Yeye kafanya uungwana alafu kubwa jinga Salam kapuyanga. Huyu dogo mjanja sana, kaenda kwenye msiba kuonesha yeye yupo kiroho safi na WCB na heshima kwa kamanda wake wa zamani mondi na managers wake, sasa ilo ngese limeonesha utoto na kumpaisha Harmonize. Kwenye maisha nimejifunza kamwe usimdharau mtu kwani Mungu hanaga ujinga kabisa atamuinua unayemdharau hadi ukome. Hizi kelele za WCB tunaziona leo siku yoyote zinaweza zikapotea ikabaki jina tu kikaja kizazi kingine.
 
Wameshatoa maana mkuu pitia huko juu japo n kama matusi vile kwa huku kwetu HUNGUMALWA SHINYANGA huwezi tumia neno hili
SIJAONA KIONGOZI, JUZI PIA NILISIKIA HUKO NJIANI....ETI KWIO AKE ! MNI TAG PLIIZ MAANA NILIVYOSIKIA KWIO AKE NIKAJUA KUKU WAKE AU MCHUMBA WAKE ! SASA HAPA KILA NIKIUNGA KAMA LINAKATAA
 
Sallam fala tu, zee la misifa sana na limefanya makusudi ili lizungumziwe, baada ya siku kadhaa utaona linapewa interview

Baada ya konde kusepa wcb posho za mameneja zilipungua, ndo maana hilo fala limenuna ni tabia za kike
 
Watu naona mnananga sallam tu lakin hamuongelei harmonize upande wake!

Sallam hapendi unafiki yule jamaa kama hataki ni hataki.

Haiwezekani mtu anakunanga kwenye mitandao halafu anakuja kukupa mkono kizembe tena anakufananisha na walemavu.

Nadhani harmonize ndo kakosea ilibidi harmonize asimfate sallam.

Note: sitetei mtu hapa, harmonize hakuondoka kwa kupenda WCB bali ilibidi aondoke kwa kuwa taratibu za kujibakisha pale WCB zilishindikana ikabidi mzee baba aondoke tu
 
Back
Top Bottom