Salaam SK- Harmonize bifu hilo kwio

Kuwa huru ni kila kitu. Sio unatoka jasho hata mia haupati eti kisa wao ndo wamekitoa.
Umeanza kwenye kafara ,sasa hivi upo kwenye kuzulumiwa kwani mara kwanza alikuwa anaingiza kiasi gani na kulipwa kiasi gani?

Sasa hivi napo yupo huru analipwa kiasi gani?

Wazee wa ganji kuona wana matatizo.
 
Msibani morogoro mazishi ya Mke wa Babu Tale, SALAAM SK mmoja wa mameneja wa Diamond akataa mkono wa HARMONIZE, binfsi sijapenda bifu hadi msibani? kama hasira angekuwa nazo Harmonize kwa zile M600, sio yeye. Nb kumbe Wcb walikuwa wanafaidika na uwepo wa TEMBO sasa mambo magumu
Mbona Maalim Seif Sharif Hamad alikataa mkono wa Ali Mohammed Shein kwenye msiba wa Aboud Jumbe Mwinyi, lakini sijakusikia hata siku moja unalalamika?
 
huu uandishi wa Mtoto wa Kiume kuanza kuandika KWIOO umeanza lini...au ndo mtoto wa kiume wa 5 katika familia yenye MABINTI wa4
 
Chakufurahisha hapo ni Tembo anajilisha na kulisha, Salama bado analishwa na Mondi. Wanaume wasio riski utawajua tu.

Tembo ndo maana anafanikiwa, anajua kujishusha. Hata hiyo yakwenda mpaka Morogoro, inahitaji moyo. Angeweza kuishia hapa hapa Dar.
Hapo ndo binadamu tuone thamani ya kuwa ´´Mungu si Athumani.´´. Maana angekuwa ni mwanadamu kama Athumani au huyo Salama, kutoa riziki kwa roho zetu hizi, wengi tungekufa njaa.
 
Umemalizaaaaaaah haswaaah
 
Wbc managers,akili zao wanazijua wenyewe. Bifu la nini wakati Harmonize alishawalipa chao ?Au ndo walitaka waendelee kumnyonya ?Na hivi Magu kadhibiti wauza ganda Sallam ndo hana chake kabisa,na Coronavirus nayo ikaja kupigilia msumari.
Kwa hio Konde boy alikuwa punda ?
 
Wbc managers,akili zao wanazijua wenyewe. Bifu la nini wakati Harmonize alishawalipa chao ?Au ndo walitaka waendelee kumnyonya ?Na hivi Magu kadhibiti wauza ganda Sallam ndo hana chake kabisa,na Coronavirus nayo ikaja kupigilia msumari.
Kumbe walikuwa wanabeba Ganda Sasa Hali itakuwa mbaya maradufu.
 
Back
Top Bottom