Salaam SK- Harmonize bifu hilo kwio

Yaani hii inafanana na umeajiriwa halafu mzigo mkubwa unapiga kazini ila malipo kiduchu.
Mara ukaacha kazi ukaamua kujiajiri halafu ukatusua ile mbaya.waajiri wako wa zamani wakikuona lazima wakuchunie
Jamaa wana roho za kikoloni sana
 
Back
Top Bottom